CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,067
Uongo dhambi! Yaani "msimbazi" moja ya Castle 4 mtu unapata ekari ya ardhi? Ina maana laki niliyofuta jana ingenipa ekari 10? Wapi huko nianze safari??
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10