Vijana Mjini tunajipoteza wenyewe, Ardhi tunayo teknolojia hii hapa

Vijana Mjini tunajipoteza wenyewe, Ardhi tunayo teknolojia hii hapa

Uongo dhambi! Yaani "msimbazi" moja ya Castle 4 mtu unapata ekari ya ardhi? Ina maana laki niliyofuta jana ingenipa ekari 10? Wapi huko nianze safari??

Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10
 
[QUOTE=mongoya..ACHANA KABISA NA ARDH KARTU NI GHALI SANA.KATAFUTE MORO TANGA NAPWANI HAPO NI BEI RAHSI
 
Kilimo kinahitaji kujipanga kimtaji(capital) hususani kilimo cha kisasa.Jaribu kutafiti bei za hizo solar umeonyesha hapo ndo utajua.It is not simple mkuu.
 
Exactly !! Mbona kuna maeneo mengi makubwa tu hapa TZ yanayotolewa mpaka bure na serikali. Wewe tu ujipange kufyeka pori. #HelaYakoTu. Unajua Wa TZ wengi bado tumelala tena usingizi wa kukoroma. Kuna watu wanamezea mate ardhi yetu kweli yani wanatuangalia tu tunavyocheza na maisha. Nchi za watu opportunities its like zimekwisha u kno, kila sector watu washakaba !!

its make sound,uandikayo ni ya kweli
 
Kwann ufikiri kununua solapower za garama kiac hicho?km ukinunua amec engne unaweza kumwagilia hataeeka 20perday.
 
Kwann ufikiri kununua solapower za garama kiac hicho?km ukinunua amec engne unaweza kumwagilia hataeeka 20perday.
 
nimependa hii mada; naomba unieleze kuhusu hii "system" je ni pump ya aina gani; power kiasi gani? je pump ni submissible? mfumo wa pump 1 au zaidi? power kiasi gani, na "specifications zingine mfano inaweza kuvuta maji kutoka urefu gani, inaweza kusukuma urefu kiasi gani n.k" je pump hiyo inaendeshwa na solar panels ngapi za saizi gani? gharama je?

samahani kwa kuchanganya kiswahili na kiingereza
 
attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

attachment.php


attachment.php


attachment.php


Hii nchi wangepewa waisrael ungekuta leo hii wanalisha afrika nzima, Babu yangu ana pori la ukubwa wa acre 800 (hectare 320 ivi) zamani alikua akilima mahindi/maharage/vitunguu akinyeeshea kwa maji ya kisima yakivutwa kwa pump ya disel za zamani sana ...sasa hivi shamba lile limegeuka pori tu, kisima kipo ila ni cha kusafisha tu maana hata leo ukitega sikio kwenye lile bomba lililozama ardhini unasikia milio ya maji, hakuna umeme ulopita maeneo yale ..wapi nitapata mhisani tuka install vitu solar kama hizi?
solar ni very expensive na ni delicate pia...jaribu kuulizia pump inayotumia solar uone bei yake
 
WANTUZU...Hilo unaloliongea nikweli.hzo sola nizagarama.hakunahaja kutumia garamakubw kiac hicho.zipo engne za amec
 
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10

Mkuu hebu tutajie basi ni wapi huko
 
wadau cjui tutafanyeje na wakulima wa kawaida ambao hawatumii mtandao waweze kujifunza humu.
 
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10

mkuu CYBERTEQ hebu tujuze ni maeneo gani zinapatikana hizo ekar moja kwa elfu15..
 
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10

Kiongozi,ni pande zipi hozo.?
My no. ni 0758-950 955.Naomba tutafutane.
 
Back
Top Bottom