and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Another empty coconut supported by neckHakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti.
NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
Acha utani mkuu ml 80 uwe mbunge wa TANZANIA??? HIYO LABDA UDIWANIHakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti.
NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
Sasa mtu kajipinda laki 5 kuchukua Fomu anaona kayapatia. Safari bado ndefuUko sahihi.
kabisa, zile offer za jpm hazipo tena, bungeni sio chanzo cha kipatoHakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti.
NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
ndo ushangae,Millioni 80 ubunge? Hiyo labda udiwani
Hamna hamna ya ubunge ongelea milioni 400 na hiyo ni kwa majimbo madogo, majimbo ya mjini hapo ni kuanzia 700 milioni
Yaani wewe kazi yenye kiinua mgongo cha 400 milioni na mahela mengine uinunue kwa 80 milioni?
Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Ila sasa ndugu mjumbe, mbona kama vile unajitangazia dau hadharani?Hakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti.
NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa