Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

Wajinga sana
 
👍 vijana wajitambue
 
We ni msomi? kama jibu ni ndio kwanini unavuta bangi??
 
Interesting
 
Kwani hamuwez kuwashauri watu bila kutaja Bhangi na Pombe? Acheni hizo banaaa....
 
Waweza onekana mjinga mmoja hivi kwa baadhi ya watu ila kiukweli kabisa hawa vijana wanavyokuja kuanza maisha ya chuo wakitoka majumbani mwao, kuna wanaokuja kugeza tabia za kishenzi mnooo!

Hawa si wa kike ama wa kiume. Wazazi, zungumzeni na watoto wenu mara wapatapo nafasi warudipo nyumbani. Kuna ndoa bubu nyingi mnooooo kmmmk huku, kuna vibinti vinakula blunt aibuu!
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…