Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Hivi sasahivi kuna vitoto vinavyokula bangi kama hivi vya 2000 na very late 90s?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni kilevi na wanaotumia ni wengi na watumiaji kwa ujumla wapo wenye kazi, wasio na kazi, wenye mishe zao zinazowaingizia pesa ndefu na wapo majob less vibaka pia tena ni marika tofauti si vijana pekee. Acha watumie kitu roho inataka.Kwamba unaona kuvuta bangi ni jambo maana siyo??
Jobly hata Dem Sina😄Unajificha kwenye ujobless siyo 😆
Wew ambaye huvuti bangi umeajiriwa WapiSio rahisi kujua kama hujawahi kaa kama jobless!!
Kipaji cha kubishana sina bye!Toka lini roho ikataka bangi?? [emoji848]
All in all bangi ni illegal.
Ni hulka tu ajira ni kisingizio tu.Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk
Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.
Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??
Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman
Ebu nitaje haraka [emoji3526]Nikikutajia mh mmoja Tanzania hii anaevuta bangi nahisi utajizadharau hapo ulipo. Acha watu wafanye starehe zao!
.......kwetu bangi ni dawa kama dawa nyingine, usipovuta utavutishwa tangu utotoni, so kusema sivuti bangi ni kunionea!!Wew ambaye huvuti bangi umeajiriwa Wapi