Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Ni majina ya pombe kali mkuu zinatuangamizia vijana wetuMkuu haya majina umeyajuaje kuna watu mfano sijui maana ya visungura
Chalamila yule ni dish la zuku
Pariki ni maugoro ya kihindi unakuta wanayachakata vibaya sana vijana ni kubwia tu kutema hovyo hovyo kama bataPariki ni nini? Halafu mbona jobo iko freshy tu!
Inauma sana.Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya
Kizazi kinaangamia mkuuInauma sana.
Ukijumlisha na betting ndio dah!.
Aisee! Nasikia na kuna wanaolewa kitunguu saumu🤔Pariki ni maugoro ya kihindi unakuta wanayachakata vibaya sana vijana ni kubwia tu kutema hovyo hovyo kama bata
Kuhusu kitunguu saumu nasikia leoAisee! Nasikia na kuna wanaolewa kitunguu saumu🤔
ok.🐒Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya
Sikanka ile bangi inayotoka bondeni kwa madibaHuwezi amini nimetoka kuwasha skanka naingia JF ndio nakutana na huu uzi
Kula bushweed tu mkuu , kuwa mzalendo kwa kutumia local product.Huwezi amini nimetoka kuwasha skanka naingia JF ndio nakutana na huu uzi
Acha waendelee kuteketea Sisi mademu zao Tunakula kiulaini.Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya
Acheni Kupotosha product zote hizo zina vibali vya Mamlaka husika za serikali zinazolinda maslahi ya wananchiNi majina ya pombe kali mkuu zinatuangamizia vijana wetu
Kama hujui kitu kijana kaa kwa kutulia huku mtaani watu wana viwanda bubu vya kvant konyagi wana stickers za tra na tbs halafu unakuja hapa kupingaAcheni Kupotosha product zote hizo zina vibali vya Mamlaka husika za serikali zinazolinda maslahi ya wananchi