Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
- Thread starter
- #21
Wanapimiwa kwa toti kwa shilingi mia tanoAcha watu wameze moto kwa hela zao. Pombe gani elf 2 tu unaanza kutembea kama gasho
Wanapimiwa kwa toti kwa shilingi mia tanoAcha watu wameze moto kwa hela zao. Pombe gani elf 2 tu unaanza kutembea kama gasho
injini ya dasilamu kwa sasaChalamila yule ni dish la zuku
Fanya maisha yakoNatumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya
Huyo kijana ananyeshwa au anaenda kununua mwenyewe na kunywaNi majina ya pombe kali mkuu zinatuangamizia vijana wetu
🤣🤣🤣🤣Fanya maisha yako
Acha umbeaNatumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005
Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana?
Asubuhi tu vijana mna chupa za energy kumbe, mmeweka
Ambiance
Jobo
Highlife
Kiwingu
Visungura
Shimha
Shujaa
Narudia tena bila serikali kuingilia viwanda bubu vya pombe kali vijana wanaisha kimya kimya
Nimekuwa mbea tena vijana mbona hamtaki kuambiwa ukweli vijana miaka 25 mmechoka kama wazee wa miaka 80Acha umbea