Vijana mmeamua kabisa kujiua wenyewe

Fanya maisha yako
 
Ni majina ya pombe kali mkuu zinatuangamizia vijana wetu
Huyo kijana ananyeshwa au anaenda kununua mwenyewe na kunywa
Wewe mbona hunywi kama hao vijana
Hayo ni mambo binafsi
Drinking responsibly
 
Ana siasa huyo anazunguka watu wa ibada pamoja na walevi eti anasema "wachungaji ombeni mpka watu waache ulevii na nyie kunyweni mpaka mmoja ashindwe hii ndo maana ya siasa ni kuingea shit ili kupata mwanya wa kujitetea baadae
 
Acha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…