Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

Rais Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia alikuwa vegetarian na kwa sehemu kubwa mlo wake simple kabisaa. Hata Julius Nyerere msosi wake simple mnooo:uji kwa mihogo, au chai maziwa kwa mihogo.

Sasa kutana na mimi wa kipato cha buku 7 ya Lumumba kwa siku. Nalazimisha kufakamia supu, chipsi, salty drinks, na pombe za bei kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…