Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Wapo matajiri ambao wanakula hizo chipsj, soda n.k. Sometimes ni hulka ya mtu tu haiusiani na kipato kikubwa au kidogo, sema ndio hivyo tajiri akifanya chochote anasifiwa. Huyo ronaldo angepost hizo chipsi, burger, piza n.k bado ungemsifia tu kwamba huo ndio msosi wa wenye helaRais Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia alikuwa vegetarian na kwa sehemu kubwa mlo wake simple kabisaa. Hata Julius Nyerere msosi wake simple mnooo:uji kwa mihogo, au chai maziwa kwa mihogo.
Sasa kutana na mimi wa kipato cha buku 7 ya Lumumba kwa siku. Nalazimisha kufakamia supu, chipsi, salty drinks, na pombe za bei kali.
Teh teh teh π π dah!...Huyo itakua ronaldo wa Mlimba
Mbona kama unawasema kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah ?Rais Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia alikuwa vegetarian na kwa sehemu kubwa mlo wake simple kabisaa. Hata Julius Nyerere msosi wake simple mnooo:uji kwa mihogo, au chai maziwa kwa mihogo.
Sasa kutana na mimi wa kipato cha buku 7 ya Lumumba kwa siku. Nalazimisha kufakamia supu, chipsi, salty drinks, na pombe za bei kali.
Lakini kweliSequence yake ya kula mnaijua lakini? Msije mkageza mkifikiri iyo ndio lunch kumbe mwenzenu anakula milo 6 kwa siku
Mwalimu alikuwa mdau wa vyombo na fegi alikuwa mdau wangu mkubwaRais Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia alikuwa vegetarian na kwa sehemu kubwa mlo wake simple kabisaa. Hata Julius Nyerere msosi wake simple mnooo:uji kwa mihogo, au chai maziwa kwa mihogo.
Sasa kutana na mimi wa kipato cha buku 7 ya Lumumba kwa siku. Nalazimisha kufakamia supu, chipsi, salty drinks, na pombe za bei kali.
Haumini kama role model anakula maharage? πππHivi ni kweli? JamiiCheck
ππHaumini kama role model anakula maharage? πππ
Angekula ugali ndo ingekua habari.
Ni Mimi eenh tajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara kigamboni πEeeh kumbe niwewe,,nimekutafuta sana, umebadili picha π
naomba buku tajiri πNi Mimi eenh tajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara kigamboni π
Na chakula cha matajiri wa kitanzania ndio chakula cha masikini huko ktk nchi za first world.Chakula cha masikini wa Kiafrika, ndiyo chakula cha matajiri wa huko first world countries.
Hii michicha ya huku uswahilini hauwezi kuigusa huko supermarkets za Wazungu.
Hii ni ajabu..ππHivi ni kweli? JamiiCheck
Njoo kigamboni πnaomba buku tajiri π