Vijana mnakwama wapi hadi kuchoma wenzenu visu kwa ajili ya mapenzi?

Vijana mnakwama wapi hadi kuchoma wenzenu visu kwa ajili ya mapenzi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Hii imetokea huko Dar kwa kijana au tuseme mvulana kumdunga kisu mpenzi wake na yeye kujidunga kisu na wote waka rest in peace huku wakiacha katoto
Wavulana mnakwama wapi hadi ujinga wa kuua na kujiua kisa mambo ya mapenzi?
 
Kuna kiporo cha wali maharage ,pombe,mpira mechi za uefa ,papuchino,pesa ,nakadhalika vitu vyote hvyo Duuh maisha yalivyo matamu hivi sjui unapata wapi huo ujasiri wa kujirestisha in pisi
 
Last time watu walishangaa jinsi afande alivyomfanyia yule dada aliyemsomesha lakini mambo haya bado yanajirudia
Watanzania wengi hawathamini uhai wao au wamekata tamaa? Si ajabu Tzn iko kwenye top ten ya nchi ambazo watu wake wanajiua duniani
 
Back
Top Bottom