Vijana mnaopenda Kitonga, hili chimbo liko wapi?

Vijana mnaopenda Kitonga, hili chimbo liko wapi?

Hiyo mishangazi inabidi uwe na roho ngumu,tulikuwa safari tukaweka kambi mkoa fulani Kanda ya kati ili tule Bata nilitambulishwa kwa mother mmoja kwamba nile nae maisha daaa kiukweli nilipiti kushoto ule mshangazi haushituki unaona poa mi nikaule sema nilikabidhiwa na dingi mmoja ambaye naye amepinda anawala kwelikweli.
 
Back
Top Bottom