Vijana mnaopenda Kitonga, hili chimbo liko wapi?

Goba siku hizi napo pamewaka...Nikija Town nitatembelea pande izo
Pakishamba tu, hizo ni pub sio hata lounge za maana. Kuchoshana tu, kuna muda nilikuwa nakaa huko ila inabidi nishuke mbezi beach kula bata.
 
Hiyo mishangazi inabidi uwe na roho ngumu,tulikuwa safari tukaweka kambi mkoa fulani Kanda ya kati ili tule Bata nilitambulishwa kwa mother mmoja kwamba nile nae maisha daaa kiukweli nilipiti kushoto ule mshangazi haushituki unaona poa mi nikaule sema nilikabidhiwa na dingi mmoja ambaye naye amepinda anawala kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…