Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

Haya Mambo hayanaga formyula mzee baba, unaweza kuoa mwanamke unayemzidi hata miaka 15 ila bado akakupanda kichwani.

Kikubwa Ni kumpata mwanamke anayekupenda,kukuheshimu, mwaminifu na mwenye hofu na Mungu.Hayo ya kuzidiana umri Ni mbwembwe tu hayana maana.
 
Ndoa nyingi zenye kupishana umri zindumu kuzidi ambazo mnalingana umri, ni tangu enzi za babu zetu

Ni suala la kuangalia zaidi probability / penye uwezekano (sio uhakika) mkubwa
 
“Keep quiet when you’re winning” ni kanuni moja wapo ya mafanikio niliwahi isoma mahala. Mkuu kwenye hizi mambo ukiona una amani na ndoa yako just enjoy haluna haja ya kuona wenye mafarakano walikosea sana. Kwenye ndoa umri kitu kimoja wapo kati ya vingi vya kuangalia. Pia zingatia hizi mambo hazina formula. Leo unaweza kucheka na kujipiga kifua kuwa wewe ni kidume na umeweza ila baada ya muuda ikawa kilio.

Hivi wakati Christina Shusho ana huo umri wa mkeo wa 26yrs kuna aliyewahi fikiri leo angeachika na kuanza kutema shiti kwa mwenzie? Tulia mkuu kama hii ni moment yako ifurahie huijui kesho usiitie nuksi ndoa yako yenye amani kwa kumtangazoa kila mtu kuwa ulipatia na kuona wengine wanakosea.

Hayo tu mkuu.



 
Nakazia ujumbe wako mkuu
 
Ndoa nyingi zenye kupishana umri zindumu kuzidi ambazo mnalingana umri, ni tangu enzi za babu zetu

Ni suala la kuangalia zaidi probability / penye uwezekano (sio uhakika) mkubwa
Age isn't a big deal bro.
 
Hao wanaosema hivo sababu wanaona wanawake wasiojitunza
Hivi kwanini mnajidanganya kuwa wanawake umri ukienda wanapoteza mvuto? Haya mashangazi yana umri gani? Mvuto ni matunzo tu kama sio mambo ya kiafya.
 
Oa unaempenda na unaeweza kuishi nae,,,
Mapenzi hayana kanuni…
 
Una 36 tayari ushaanza kupandishia wenzio mabega, subiri ufike 56 na yeye awe na 46 ndio uje hapa uongee, kwa sasa bado sana enjoy your moment.
 
Hivi kwanini mnajidanganya kuwa wanawake umri ukienda wanapoteza mvuto? Haya mashangazi yana umri gani? Mvuto ni matunzo tu kama sio mambo ya kiafya.
Bora umemaliza kabisaa.
 
Fainali uzeeni Mkuu wewe 50 ushaanza kuchoka mwili, mwenzako wakati huo ndo anagonga 40 hapo ndo utaona sura ya MWANADADA
 
Well said na ni ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…