Nikwel Mimi na mpenzi wangu tuliachana yeye akaenda kuolewa lakin cha ajabu nilikuwa nikimuitaji ana kuja kunipa penzi na wakati kashaolewa na mpaka anaolewa Mimi sikuwai kuzaanae mtotoWenyewe wanadhani kila anayesimama upande wa single maza basi ni single maza, nimeolewa, dada zangu wako kwa ndoa zao, na mama kazeeka na baba adi saivi, Ila kuwa single maza sio kosa wala si ulemavu kama marios wengi wanavodhani watu wanaoa masingle maza na wanaishi vizuri kuliko ata waliooana bila watoto
Safi sanaaah.Wenyewe wanadhani kila anayesimama upande wa single maza basi ni single maza, nimeolewa, dada zangu wako kwa ndoa zao, na mama kazeeka na baba adi saivi, Ila kuwa single maza sio kosa wala si ulemavu kama marios wengi wanavodhani watu wanaoa masingle maza na wanaishi vizuri kuliko ata waliooana bila watoto
Na wale ambao walitaka kutoa ikagoma kutoka tunawaweka kundi lipi?Huu ujinga mnautoaga wap? Kwahiyo mtu akishazaa ni guarantee kwamba hajawahi toa wala hatatoa mimba? Yaan mtu akiamu kuzaa inakuwa hajawahi toa mimba kabla au baada ya kuzaa?
Hii reasoning ya wabongo ni ya kipekee sana, sidhani kama inapatikana sehemu nyingine yeyote duniani!
Kama ameua mtoto wake wa kumzaa na damu yake!! jiulize wewe ni nani?? mpaka uka e nae kwa amani maisha yenu yoteee? unajua hkn mtu mwenye maudhi km mume kimahusiano!!! mara ana mchepuko leo, mara hajarudi home! mara umempiga, mara unataka oa mwingine!! weeeee!! sasa oa usubiri tu kifo chako kizuri!!Huu ujinga mnautoaga wap? Kwahiyo mtu akishazaa ni guarantee kwamba hajawahi toa wala hatatoa mimba? Yaan mtu akiamu kuzaa inakuwa hajawahi toa mimba kabla au baada ya kuzaa?
Hii reasoning ya wabongo ni ya kipekee sana, sidhani kama inapatikana sehemu nyingine yeyote duniani!
Yaani mi mpka wananikera aiseehOeni bikra ili msisalitiwe. Mnawaonea tu single mother wa watu kila siku kuwaanzishia mada.
He he he watu hawana raha bila ya kutafuta wa kuwaweka midomoni teh!Yaani upeo wa kufikiri ndo umefika kikomo hapo!Wiki kadhaa zimepita bila ya kuwananga hawa watu, mmeanza tena. Kila mtu ana maamuzi yake wandugu
Ila kwa Singo Mazaz, kama Maelekezo yalivyotoka katika Kikao kilichopita na Yakaazimiwa na Mwenyekiti pamoja na Wajumbe