UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kumekuwa na wimbi la vijana waiba contents bila kutoa Credits kwa wahusika.
Binafsi nimeona contents zangu (Hasa Simulizi zangu) zikiwa zinatumiwa na Vijana katika mitandao ya Facebook,Twitter,Instagram na Telegram.
Naelewa Vijana mnajipatia chochote ili maisha yasonge lakini kwanini msitoe Credits kwangu na Kwa mtandao pendwa wa JamiiForums?
Nadhani itakuwa vema kama umeamua kukopi kitu chochote kwangu au kwa watu wengine ni vema ukawapa Maua yao wahusika na mtandao husika huyo mtu anakopatikana!,Si vema ukopi kitu cha mtu bila ridhaa yake,lakini pia bila kumpa Credits zake.
Kwani mkiwapa Credits JamiiForums mtapungukiwa nini?
Kwanini mkinipa credits UMUGHAKA mtapungukiwa nini?
Au huwa mnadanganya followers wenu nyie ndo UMUGHAKA ? 🤣
Vijana mnamatatizo gani?,Wengine huko Facebook na Twitter nakwambia hadi wameamua kutumia Jina la UMUGHAKA 😀
Napenda sana kuona vijana mkipiga hatua za kimaendeleo lakini muhakikishe huko kwenye hiyo mitandao mnakopeleka simulizi zangu mnanipa Credits ili watu ambao pia hawanifahamu wanifuatilie hapa JF.
Vijana toeni Credits bana msiwe wachoyo kama ambavyo kaka yenu UMUGHAKA si mchoyo!