Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Mm binafsi situmii sana mitandao ya kijamii nje ya jf na wasap. Youtube ndio kabisa hua naingia huko kama nafuata trailer la muvi. Ndio nilikutana na huyu jamaa sijui anaitwa jamal or something... Kapita na post zangu nyingi tu, kwenye tublog huko na fb ndio balaa...Jamaa wanazingua sana!
Ni vema akakucheki ukamruhusu ili Contents zako zitumike lakini wao wanapiga kimya🤣
Huu uzi pia alipitanao 🤣
A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi
Salute.. Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology...