Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Ni chawa na ajiangalie vizur atatumbuliwa na mtaaibika.
 
Ni chawa na ajiangalie vizur atatumbuliwa na mtaaibika.
Kwa hiyo tusimjadili Kafulila kwa kuogopa eti atatumbuliwa?

Bahati mbaya zaidi sisi hatujui hata sifa alizoangalia katika kumteua pengine hiki tunachokijadili leo hapa yeye alikiona kabla na ndio ikawa sababu ya kumteua.

Ila Watanzania tunachojua hata kuwepo kwa Kafulila katika Serikali kunaonesha nia ya dhati ya Serikali kupambana na rushwa pamoja na ufisadi aliyonayo Mhe Rais.

Kama Rais Samia angekuwa anapenda rushwa au Ufisadi kamwe asingemleta Kafulila kwenye Serikali yake.

Kitendo Cha Rais Samia kumteua Kafulila katika Serikali ya awamu ya sita ni kielelezo Cha wazi kabisa Cha kuonesha nia yake ya wazi ya kupambana na wizi pamoja na Ufisadi katika Serikali yake ya awamu ya 6.
 
Unakataaje 3bn Mzee Kafulila?,😭😭
 
Tumjadili ana nn cha maana? Wenzake walileta shobo la kipumbavu kama hilo kiko wapi? Yaan tuache kujadili mambo ya maana tujadili tumbili?
 
Tumjadili ana nn cha maana? Wenzake walileta shobo la kipumbavu kama hilo kiko wapi? Yaan tuache kujadili mambo ya maana tujadili tumbili?
Hakuna anayekulazimisha kumjadili mkuu wangu ila kelele za Uzalendo wake ndio zinatupigia kelele.
 
Kafulila is a valuable asset to our country
 
Hakuna anayekulazimisha kumjadili mkuu wangu ila kelele za Uzalendo wake ndio zinatupigia kelele.
Ana uzalendo upi? Hapa Tanzania Luna mwanasiasa mzalendo? Alipokuwa anawachangisha watu pesa kwa ajili ya timu pale Songwe kumbe ni usanii mpaka akatumbuliwa. Sasa, subiri, atapotea kabisa kwenye ramani.
 
Ningekuwa mods ningepiga ban watu wote wanaoleta mada hizi maana naona kabisa wanalipwa kuleta huu uchawa uongozi hautafutwi kwa njia hii
 
Nyerere na Samia, ni mwanga na giza.
 
Jamaa amewasambaza kweli mapromoter

Binadamu kujitoa utu na ufahamu wake km huyu muanzisha thread maana yake rate yake ni kubwa kuliko zile za lumumba au zipo njenje! Kijana mwenyewe wanayempromote sasa, hana impact yyt wanamuuza kwa mijineno tu! Aende akagombee huko tushachoka kila siku kafulila kafulila nyuzi mpya utafikiri kafanya cha maana chochote! Nashangaa mods nao hawaunganishi huu uchafu pamoja!
 
Eti anapendwa na watanzania wengi? Bila data? Umejuaje? Unaota? Endeleeni tu kuwafanya watanzania wajinga tu ila ipo siku japo bado sana, wataamka na kujua maisha yao ni siasa mbovu za kichawa namna hii wakakumbuka na kuacha ushabiki wa simba, yanga na mwamposa, bongofleva, kafulila na wenzie! Inakuja generation itakayoona huu upumbavu wa mtu anayejiita ana hela then chawa na kuwapuuza then watafanya maamuzi sahihi, wakati ukuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…