Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Kwani wewe ukiacha hizo kejeli,

Unasemaje kuhusu Kafulila?

Je, ni mwizi?
Je, ni fisadi?
Je, kajilimbikizia mali zozote popote?
Je, anafaa kujadiliwa kwa record zake hizo hata kama zimepita?

Hili Taifa tumekuwa watu wa kujali udaku badala ya hatma ya Taifa lenyewe.

Leo Rais Samia anafanya mambo makubwa ila hayapewi uzito badala yake umbea ndio unapewa nguvu.
Ni chawa na ajiangalie vizur atatumbuliwa na mtaaibika.
 
Kwa hiyo tusimjadili Kafulila kwa kuogopa eti atatumbuliwa?

Bahati mbaya zaidi sisi hatujui hata sifa alizoangalia katika kumteua pengine hiki tunachokijadili leo hapa yeye alikiona kabla na ndio ikawa sababu ya kumteua.

Ila Watanzania tunachojua hata kuwepo kwa Kafulila katika Serikali kunaonesha nia ya dhati ya Serikali kupambana na rushwa pamoja na ufisadi aliyonayo Mhe Rais.

Kama Rais Samia angekuwa anapenda rushwa au Ufisadi kamwe asingemleta Kafulila kwenye Serikali yake.

Kitendo Cha Rais Samia kumteua Kafulila katika Serikali ya awamu ya sita ni kielelezo Cha wazi kabisa Cha kuonesha nia yake ya wazi ya kupambana na wizi pamoja na Ufisadi katika Serikali yake ya awamu ya 6.
 
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
Unakataaje 3bn Mzee Kafulila?,😭😭
 
Kwahiyo tusimjadili kwa kuogopa atatunbuliwa?

Bahati mbaya hatujui hata Sifa alizoangalia katika kumteua.

Ila tunachojua hata kuwepo kwa Kafulila katika Serikali kuonesha nia ya dhati ya kupambana na rushwa pamoja na ufisadi.

Kama Rais Samia angekuwa anapenda rushwa au Ufisadi kamwe asingemleta Kafulila kwenye Serikali yake.

Kitendo Cha Rais Samia kumteua Kafulila kuonesha nia ya wazi ya kupambana na wizi pamoja na Ufisadi.
Tumjadili ana nn cha maana? Wenzake walileta shobo la kipumbavu kama hilo kiko wapi? Yaan tuache kujadili mambo ya maana tujadili tumbili?
 
Hakuna anayekulazimisha kumjadili mkuu wangu ila kelele za Uzalendo wake ndio zinatupigia kelele.
 
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
Kafulila is a valuable asset to our country
 
Hakuna anayekulazimisha kumjadili mkuu wangu ila kelele za Uzalendo wake ndio zinatupigia kelele.
Ana uzalendo upi? Hapa Tanzania Luna mwanasiasa mzalendo? Alipokuwa anawachangisha watu pesa kwa ajili ya timu pale Songwe kumbe ni usanii mpaka akatumbuliwa. Sasa, subiri, atapotea kabisa kwenye ramani.
 
Ningekuwa mods ningepiga ban watu wote wanaoleta mada hizi maana naona kabisa wanalipwa kuleta huu uchawa uongozi hautafutwi kwa njia hii
 
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
Nyerere na Samia, ni mwanga na giza.
 
Jamaa amewasambaza kweli mapromoter

Binadamu kujitoa utu na ufahamu wake km huyu muanzisha thread maana yake rate yake ni kubwa kuliko zile za lumumba au zipo njenje! Kijana mwenyewe wanayempromote sasa, hana impact yyt wanamuuza kwa mijineno tu! Aende akagombee huko tushachoka kila siku kafulila kafulila nyuzi mpya utafikiri kafanya cha maana chochote! Nashangaa mods nao hawaunganishi huu uchafu pamoja!
 
Eti anapendwa na watanzania wengi? Bila data? Umejuaje? Unaota? Endeleeni tu kuwafanya watanzania wajinga tu ila ipo siku japo bado sana, wataamka na kujua maisha yao ni siasa mbovu za kichawa namna hii wakakumbuka na kuacha ushabiki wa simba, yanga na mwamposa, bongofleva, kafulila na wenzie! Inakuja generation itakayoona huu upumbavu wa mtu anayejiita ana hela then chawa na kuwapuuza then watafanya maamuzi sahihi, wakati ukuta!
 
Back
Top Bottom