Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Mungu ni wetu sote
 
Unahangaika sana kumzuia Kafulila I'll la tambua yule jamaa ni mpango kamili wa Mungu
Ni ujinga kumtaja Mungu, kwa ajili ya TUMBILI.

Hakuna Mungu hapo ni mpango binafsi wa yeye TUMBILI na familia NZIMA ya TUMBILI kitafuta kiki ambayo imegoma.
Kifupi ni upuuzi!
 
Andiko xuri sana
 
Andiko xuri sana
Mnajitekenya na kucheka wenyewe, Team TUMBILI, CHAWA wa TUMBILI πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£.
Hamuoni aibu mnafikiri watu hapa JF ni Bongolala??πŸ€”πŸ€”

Hizi ni ID mbili za Kafulila TUMBILI chawa, au Kafulila mwenyewe.

Mnachekesha sana nyie watu.

Hivi, hivi Huwa mnalipwa shilingi ngapi kwa haya MAIGIZO mnayofanya hapa??

Huwa mnatoa wapi hivi VICHEKESHO???πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£
 
ABC,/cm-1774858.635023/VUGUVUGU ni account mbili tofauti, zinazotumiwa na TUMBILI na CHAWA wake TUMBILI πŸ€”πŸ€”
Maudhui ya post, like to each other hapa jukwaani ni ushuda tosha

D mbili wala hazihitajiki kujiridhisha.
 
ABC,/cm-1774858.635023/VUGUVUGU ni account mbili tofauti, zinazotumiwa na TUMBILI na CHAWA wake TUMBILI πŸ€”πŸ€”
Maudhui ya post, like to each other hapa jukwaani ni ushuda tosha

D mbili wala hazihitajiki kujiridhisha.
Sijui nyie wengine ni wageni hapa Jf
Hapa ID sio topic jadilini topics
 
Tanzania Uzalendo bado ni tatizo kubwa, Vijana wanashindani kwa Upigaji na maisha ya kifahari.
Nyerere angefanya tunavyofanya ingekuwaje?
 
Najifunza kitu toka kwa Kafulila
 
Umemaliza Kila kitu
 
Ngoja tuone
 
Kafulila Kwa uzalendo wake huu aendelee hivi hivi
 
Sauti yako ni kama ya Lucas Mwashambwa

Inasemekana kila mtu ana mtu anayefanana naye sana kama pacha.
πŸ˜€πŸ‘πŸ½
 
Sawa mkuu
 
Ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…