Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
Unao ujumbe mkubwa na mzuri,Isi ishie katika uongozi pekee,tenda mema katika jamii nzima kwa ujumla hata katika familia,ndio pale tunapata Taifa la watu wenye umri mrefu wa kuishi..
NYONGEZA: Kuna jambo moja kubwa sana la kijana huyu la kizalendo sana,Mungu alie juu ndo alimuongoza hatimae leo tuna furaha/amani kama Taifa
Cc britanicca
 
Ana uzalendo upi? Hapa Tanzania Luna mwanasiasa mzalendo? Alipokuwa anawachangisha watu pesa kwa ajili ya timu pale Songwe kumbe ni usanii mpaka akatumbuliwa. Sasa, subiri, atapotea kabisa kwenye ramani.
Kwahiyo tuseme Kafulila alikula rushwa ya michango ya timu??😁😁
Uwe unaficha ujinga wako kama mtu amerudisha chenji ya 2bn pesa ambayo iliandikwa imeshatumika anakulaje mchango wa timu? 😁😁

Mkuu Kama huna baya la Kafulila ungana na wazalendo kumsapoti.
 
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
2mbili,Slow Slow and Silaa, what is the f*cking kind of combination is this?🤔🤔
Kwamba 2mbili ana vimelea vya Baba wa Taifa, shika adabu yako. Labda Taifa la ukoo wenu
 
Ni kweli kbs na kwa sasa hvi yupo juu kwa rate ya kulipa chawa wampromote hapa! Akaze buti karibu wajinga wa bongo watamuelewa tu!
Kafulila na Mawingulu aliyeandika mawe yote ya kandokando ya barabara za Tanzania kuwa ni rais hawana tofauti. Wanafanya promotion za kijinga kweli kweli.
 
Umeongea pointi nzuri sana.

Je, sasa tunyamaze tuache kuwapongeza wale wanaoonesha nia ya kukataa hizi tabia mbaya?

Je, tusipowatumia watu kama akina Kafulila kama shamba darasa tutapataje wazalendo wengine wapya kwaajili ya Taifa?
Ukitaka kujua ujinga wa 2mbili jiangalie wewe chawa wake ndiyo utajua kwanini aliitwa 2mbili.
 
Uharo mtupu tu humu.mnaannzisha mada za kizwazwa mnaanza kufarijiana nyinyi kwa nyinyi..Nyie na Uchawa-CCM wenu ni wa kupuuza tu.Elfu 7 inawafanya muwe mnatumia I.NYA kufikiri kabisaaaa.
 
2mbili,Slow Slow and Silaa, what is the f*cking kind of combination is this?🤔🤔
Kwamba 2mbili ana vimelea vya Baba wa Taifa, shika adabu yako. Labda Taifa la ukoo wenu
wewe ututajie Sasa huyo mzalendo kama alivyofanya mtoa mada

Hata Mimi nisingecheua 2bn,navuta ndinga moja matata sana na watoto wote wakali hapa mjini wataniita in a full Name🤣🤣
 
Kwa hiyo hao maraisi wengine wote uliowaruka wewe Kafulila kama Raisi Mwinyi ,Kikwete na Magufuli walikuwa wala Rushwa na wenye vimelea vya rushwa kasoro Nyerere na Samia tu uliowataja?

Kafulila una shida gani wewe?

Raisi Samia tunaomba umpumzishe huyu mwehu wako tumechoka na nyuzi zake
Hakika Rais Samia anatukosea sana kwa huyu 2mbili,bora ampumzishe kwakweli
 
Kwahiyo tuseme Kafulila alikula rushwa ya michango ya timu??😁😁
Uwe unaficha ujinga wako kama mtu amerudisha chenji ya 2bn pesa ambayo iliandikwa imeshatumika anakulaje mchango wa timu? 😁😁

Mkuu Kama huna baya la Kafulila ungana na wazalendo kumsapoti.
Kwa, hiyo ulikuwa haujui kilichosababisha akatumbuliwa Songwe. Basi nakupa hiyo taarifa. Na hii kujipromote itamcost pia. Subiri si siku nyingi utasikia kuhusu Tumbiri wako.
 
Naona unataka kuolewa kijana
Ukitaka kumjua vizuri 2mbili angalia chawa wake. Sasa mtu kasema 2mbili mpaka ndoa ilimshinda wew chawa wake unauliza eti kama kijana anataka kuolewa, mtu kama wewe ndiye mwakilishi wa huyo 2mbili
 
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.

Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda isiwapendeze baadhi ya watu humu hasa wasiopenda kusikia Kafulila na wazalendo wengine wakitajwa na mtu yoyote kwa mema.

Lakini lazima tukubaliane kwa rekodi hizi za kizalendo zilizowekwa na Cde David Kafulila hapa Tanzania ni ngumu kuuzuia umma kumjadili iwe ni mchana au usiku hata kama tunapenda au hatupendi atajajadiliwa tu kwa merits zake hizo za kizalendo.

Binafsi kwa muda Sasa nimejipa muda wa kutosha wa kufuatilia kile kinachoandikwa humu na kuzungumzwa maeneo mbalimbali kumuhusu David Kafulila.

Nimegundua mambo makuu matatu yaliyo nyuma ya tajwa tajwa hii ya Kafulila kama ifuatavyo:-

1. Kwamba, Leo ukitenda mema au ukatenda mabaya kwa Jamii|umma taarifa zako zote zitaandikwa hewani (clouds) na Umma huo huo hata kama wewe utakuwa nje ya ulingo wa siasa au nje ya nafasi yako hiyo kama ilivyo kwa Kafulila bado umma utakujadili tu.

2. Kwamba, imefika wakati baadhi ya Watanzania hata kama wao wanapenda kupokea rushwa au kutoa rushwa bado wanafurahishwa zaidi na kiongozi anayekataa kutoa au kupokea rushwa kama ilivyo kwa huyu David Kafulila leo.

3. Kwamba, David Kafulila anapendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi hasa wenye vimelea vya Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na marais waliofuata akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma <<< Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote? >>>
TUMBILI,na wewe TUMBILI CHAWA, ni wapuuzi mliokosa FOCUS, Kafulila uraia wake una shaka, ana tamaaa, anawatuma Wajinga na wapuuzi kuja kupima upepo.

Kijana unakuli kutumika kama ROUGH RIDER au DUME, na mwanaumewenxako.

Endelea kuleta nyuzi za promotion ya TUMBILI.

Hii yote unafanya kwa sababu tu unaongozwa na AKILI ZA KUVUKIA BARABARA.

The most arrogant JF member,ever seen before.

Shame on you,endelea na ujinga.
 
Ni kweli ghafula jina lake linavuma!!

Kama yeye ndio yule Muha aliezuia Ile Operation ya wahuni ikafeli bhas wahusika watakua wanamsafishia njia kuelekea lengo fulani na laweza kuwa kugombea nafasi kubwa hapo baadae!!

Binafsi nimemsikia akiwa nccr na like sakata la escrow bas mengine sijui!!

Kama ni mtu mwema sitoona aibu kumpigia kura pale atakapogombea nafasi fulani!
Wewe ndiye TUMBILI MWENYEWE, umekuja kumsaidia CHAWA WAKO baada ya kuona anazidiwa nguvu.

Wee TUMBILI ridhika na PPP.

Hivi ilikuwaje mpaka Jesikisho.......mpaka akaanza kutoa MBUNYE nje??
Nasikia no iii ANAMYANDUA VIBAYA.

Acha tamaa wewe mrundi, ushauri, shugulika kwanza na Ndoa Yako.

😅😅🤔🤔
 
Hakuna kitu kibaya sana kwenye utumishi kama kiapo ukikivunja ni lazima tu karma ikupate
 
Hakika Rais Samia anatukosea sana kwa huyu 2mbili,bora ampumzishe kwakweli
Wewe unafahamu sifa zilizofanya amteue mpaka useme amtengue?

Kafulila ni nembo ya Uimara na Uadilifu kwa Taifa unalijua hili?

Serikali inapokuwa na watu waadilifu aina ya kina Kafulila na wengine inapata uhalali mbele ya Watanzania hasa Wazalendo.

Kafulila is here to stay labda tumshauri Rais ampe nafasi ya juu zaidi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Unao ujumbe mkubwa na mzuri,Isi ishie katika uongozi pekee,tenda mema katika jamii nzima kwa ujumla hata katika familia,ndio pale tunapata Taifa la watu wenye umri mrefu wa kuishi..
NYONGEZA: Kuna jambo moja kubwa sana la kijana huyu la kizalendo sana,Mungu alie juu ndo alimuongoza hatimae leo tuna furaha/amani kama Taifa
Cc britanicca
Uzalendo unalipa sana vijana lazima TUJUE hili
 
Wewe unafahamu sifa zilizofanya amteue mpaka useme amtengue?

Kafulila ni nembo ya Uimara na Uadilifu kwa Taifa unalijua hili?

Serikali inapokuwa na watu waadilifu aina ya kina Kafulila na wengine inapata uhalali mbele ya Watanzania hasa Wazalendo.

Kafulila is here to stay labda tumshauri Rais ampe nafasi ya juu zaidi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
CHADEMA wanamwogopa sana Kafulila sijui kwanini??!😂😂
 
Back
Top Bottom