bmbalamwezi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 788
- 195
Vijana Morogoro waikubali na kuisifia Katiba inayopendekezwa. Vijana Mkoani Morogoro wamesema kuwa Katiba Inayopendekezwa ni nzuri sana kwani imewajali vijana hata masuala yao ya michezo. Kutokana na kuikubali Katiba Inayopendekezwa wanawaomba vijana wenzao kote nchini kuipigia kura ya NDIYO. Huu ni ukweli usiopingika kuwa Katiba hii imejali makundi karibu yote. Hima vijana endelea kuisoma katiba kwa makini zaidi ili unapopiga kura yako ya ndiyo upige kura yako kwa uelewa. Tunaishukuru Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kutuongezea muda wa kuisoma na kuielewa vizuri kabla ya kupiga kura ya maoni.
Silent majority.....
Naona unajikoment mwenyewe bila hata aibu intarahamwe weeeVijana wa morogoro mm binafsi nawapongeza sana kwa kuonyesha msimamo wenu kwa kuwa vijana bado tunalo jkumu la kuisoma na kuielewa katiba inayopendekezwa ili tusije tukaingia kwenye mtego wa watu wachache wanaendeleza kampeni ya upotoshaji kuhusu katiba inayopendekezwa,la msingi tuisome popote tulipo ,tuielewe na hatimaye tufanye uamuzi sahihi wakati wa kupiga kura ya maoni.Nimeguswa sna na ujasiri huu wa vijana wa morogoro kwa kuwa wamefungua njia kwetu ss ambao tulikuwa tunadhani swala hili la katiba inayopendekezwa halituhusu,shime vijana wenzangu tuisomse katiba pendekezwa
Wewe usiyevuta bangi akili yako ni dhaifu,just a little while only time will tell
Naona unajikoment mwenyewe bila hata aibu intarahamwe weee
swissme
Tena sema vijana wa CCM/nyinyiemu wanaoishi kwa majaaliwa ya buku 7 za Lumumba
maigizo yanaendelea.....
maigizo yanaendelea.....
KAMA KAWAITA YAKO TETTY aka TYTA Yote majina yako unaomba msaada wa kusemewa na Nathan ikimanisha huna uwezo wa kudebate kutokana na kufilisika mawazo,usipojiangalia utakuja kulipiwa wewe haiwezekani ukakosa kujisimamia everyday your'e copying and pasting??
Swssme unachojaribu kufanya hapa ni kuzuia mafuriko kwa kutumia ulimi,najua unaumia sana unapoona vijana wengi wamejitambua na wanajiandaa kufanya maamuzi sahihi, umebaki peke yako na mawao hasi,unatamani nchi hii iwe kama Somalia I tell u it cant be,vijana wako timamu wewe usiwjielewa!!!
Kwenye michango yako huwezi kuacha kumtaja chnge,limbwata alilokupa uendelee kumpaisha linafanya kazi,Huwezi kunishawishi na limbwata lako hapa chenge wala ccm hawana katiba hapa KATIBA NI YA WANANCHI.Katiba ya chenge na yale makitu ya ccmswissme
Kwenye michango yako huwezi kuacha kumtaja chnge,limbwata alilokupa uendelee kumpaisha linafanya kazi,Huwezi kunishawishi na limbwata lako hapa chenge wala ccm hawana katiba hapa KATIBA NI YA WANANCHI.
Chochote kilichoratibiwa na chenge ni haramu.
Aliyeandika katiba ya kuwatetea waizi wenzake na mafisiHueleweki kilichoratibiwa na huyo uliyemtaja ni kitu gani?
unapiga kelele tu na buku 7 haujui hata kifungu
Swissme