Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Wewe usiyevuta bangi akili yako ni dhaifu,just a little while only time will tell
Shida ya chadema ni kuuvunja muungano ili wasidaiwe asilimia ya wazanzibar ili kuungwa mkono katika mgombea wa urais. Na bado vijana wanaisoma kweli kweli katiba hii na wengi wataikubali sio muwapotoshe kwa uchu wenu mkubwa wa kushika dola ili muigawe nchi.