Vijana Morogoro waikubali na kuisifia Katiba Inayopendekezwa

haya ni matokeo ya kutokuwa na utashi mzuri wa kisiasa na kuchoka kufikiri muda usio rasmi. Hivi unavosema vijana wa morogoro unamaana gani?, baadhi?, wote?, au vijana wa chama fulani?. Nauliza hivi kwani mimi ni kijana pia na nipo sehemu tajwa yaani Morogoro. Kati ya vitu vinavyoweza kumshushia mtu heshima ni moja na maneno yanayotolewa na kusababisha watu kujua kuwa mtu huyo ana fikra zilizochoka na kupita muda wake wa fikra hizo kutumika. Kwa kitendo cha mimi kuwa kijana na kutokuwa na nia ya kusema ndio kwa katiba pendekezwa matokeo ya tafiti zako yanatakiwa kufanyiwa uchunguzi, na hivyo kidhihirisha kuwa sio vijana wote wanaoikubali katiba. Na hata kama sio wote ila ni baadhi naona dhahiri kuwa taifa hili linalotegemea nguvu ya vijana litapotelea pabaya kwani kijana asiye mvivu wa fikra na mwoga wa maendeleo hawezi sema ndio kwa katiba pendekezwa.
SAY BIG NOOO TO KATIBA PENDEKEZWA, KURA YANGU NI YA WAZI.
 
Millenium development goals (MDG), Vision 2020 kijana anaishangilia katiba mpya sababu IMEWAJALI VIJANA HASA KATIKA MASUALA YAO YA MICHEZO..so sad.😔😔😔😔😔
 
Najua ndio umeamka, acha kudandia maada hukuulizwa wewe?

Mimi ni mtanzania na katiba inanihusu mimi sipewi pesa za kupiga debe jama wewe .mimi natetea maslai ya watanzania wenzangu usitupotoshe na uchafu wako.nenda zako huko


swissme
 
Reactions: BAK
Millenium development goals (MDG), Vision 2020 kijana anaishangilia katiba mpya sababu IMEWAJALI VIJANA HASA KATIKA MASUALA YAO YA MICHEZO..so sad.

Unaona laha kutaja kutaja hizo programu na miaka yake kisa imeandikwa kwa kiingereza!!!! Teh teh nakuonea huruma hujui utendalo youre out of the topic kalale!
 
Mimi ni mtanzania na katiba inanihusu mimi sipewi pesa za kupiga debe jama wewe .mimi natetea maslai ya watanzania wenzangu usitupotoshe na uchafu wako.nenda zako huko


swissme

Wewe sio mtanzania,Im sure Katiba hujisoma dogo,kuwa muungwana ndio maana untamani nikutajie vifungu,Hao watanzania wenzako unaowatetea wakati wewe sio raia ni akina nan?Nani kwanza kakutuma uwatetee?????wakati we mwenyewe hujielewi???.
 
Unaona laha kutaja kutaja hizo programu na miaka yake kisa imeandikwa kwa kiingereza!!!! Teh teh nakuonea huruma hujui utendalo youre out of the topic kalale!
Wewe si ndio walewale wasiojua MKUZA wala MKUKUTA halafu unajiita kijana wa kisasa ulietumwa kushangilia katiba kisa imewagusa vijana katika suala la michezo.nadhani buku mbili mbili za hapo Lumumba zinawapa kiburi kujiunga na vifurushi kuleta mada za kipuuzi.
 

Haaaa weye walia walilia kujua MKUZA na MKUKUTA kwa maneno na unashangilia kama juha na wewe ni miongoni mwa wale jero jero wasiojua wanachokifanya JF ha ha ha ha kwishney
 
Safi sana vijana wenzangu tuliopo hapa morogoro,tumeonyesha mfano kwa watanzania wote,kwa kuisoma katiba pendekezwa na kuiunga mkono,safi sana
 

Yani wewe ndo sifuri khaaaa!
 

pwani,tanga,dodoma na morogoro ndiko ccm inakopatia kura nyingi kwa hiyo ni lazima waikubali ngome kuu za ccm hizo.
 
Aliyeandika katiba ya kuwatetea waizi wenzake na mafisi


Swissme

Kama umeichoka Tanzania katafute uraia kwengine, wewe katiba yako nzuri iko wapi? Warioba hana Katiba yeye aliandika mapendekezo tu na sio vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…