Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Ke kwa Me kimahusiano ni sawa na Mtoto kwa Baba.

Jinsi ulivyomfunza awali kabisa tabia na msimamo wako katika msingi wa Urafiki + Uchumba + Ndoa ndivyo utavyoishi naye sababu huwezi kupanda karanga ukategemea kuvuna korosho.
 
Ushauri wa Hovyo kabisa huu!
Hata sijaona sababu ya msingi uliyotoa ya kukufanya kunyimwa tendo kwa zaidi ya mwezi....
ILA kwa uandishi huu na ushauri wako unaotoa, nafikiri hustahili kunyimwa tendo pekee bali kupigwa chini kabisa!
 
Sawa
 
Hii hata Mimi nimeitafakari Sana ,wife hawezi kuninyima unyumba kwa mwezi mzima yaani hata angenikamata na mchepuko live.
Sijui Ni mke wa namna gani lkn kumuamini mtoa Hoja yahitaji akili itulie. Na labda kapata pure feminist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…