Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Ukikosea kuoa huyu mtoa mada utaona anasema ukweli ila ukipatia kuoa utaona kama mtoa mada ni tahira.CHAGUA UPANDE
 
Hii hata Mimi nimeitafakari Sana ,wife hawezi kuninyima unyumba kwa mwezi mzima yaani hata angenikamata na mchepuko live.
Sijui Ni mke wa namna gani lkn kumuamini mtoa Hoja yahitaji akili itulie. Na labda kapata pure feminist.
Watu wengi hamjui vitu vingi kuhusu wanawake ndio maana unaona hili ni kama geni kwako.

Kwanza ni lazima ufahamu ibilisi ndani ya nyumba malango yake ni mwanamke.

Ili ndoa isimame inahitaji sana uwepo wa Mungu ndani ya nyumba.

Mwanamke anaweza kukukazia hata mwaka na hakuna mwanaume wa nje anayembinuwa, solution ya wanaume wengi huwa ni talaka.

Lakini mnapaswa kuelewa kwa maisha ya sasa yalivyo mke mchukulie kama life partner na siyo sex partner ndoa yako itasalimika.

Uovu wote wa shetani kwenye nyumba unapitia kwa mwanamke, unahitajika uwe mwanaume kweli ili kuishi na mwanamke kwa sasa, unless divorce zitaongezeka kwa kasi ya ajabu, wazungu wameshadestroy utamaduni wetu inahitajika akili binafsi za mtu mmoja mmoja.
 
Hii hata Mimi nimeitafakari Sana ,wife hawezi kuninyima unyumba kwa mwezi mzima yaani hata angenikamata na mchepuko live.
Sijui Ni mke wa namna gani lkn kumuamini mtoa Hoja yahitaji akili itulie. Na labda kapata pure feminist.
Sababu yake (aliyo andika) ya kusababisha akose Unyumba ni pale mwanamke anapokuwa kwenye hethi.
Sasa unaweza kujiuliza kama huyu mtu ni full maturead ambaye anaona na hilo ni tatizo?
Hapa hajakutana na changamoto kama kuuguliwa nk?
Angeshauri hata wanaotaka waoe wake wawili (kama wana uwezo) ningemuelewa zaidi lakini sio hizo blaa blaa...
 
Mkulungwa01 ww jamaa anazeeka vibaya na ushauri wako, unataka vijana wasioe wafanyaje???? Kula maisha ndio nini ??? Kulewa??? Na kujidhalilisha kwenye mabaaa????? . Usifananishe ndoa yako na ndoa za watu wengine mazeee! Wake wengine sio kama mke wako

Ndoa hazifanani mzeee wangu ,usidhani kama ndoa yako inachangamoto basi ukajua ni ndoa zote mazeeeee

Sio kweli nakataaaaaa

Vijana oeni acheni uzinifu na michepuko haitawapeleka popote
 
Bila tendo la ndoa kutaradadi yote uliyoyasema hayana maana,sex is a priority of any marriage
Sasa hapa ndio kwenye tatizo, kama usipokwenda na midundo inavyokwenda utaharibikiwa.

Wanawake kuna vipindi huwa wanavurugwa hii ni nature, hapo ndio kipindi unapaswa kuwa mwanaume kamili, hupaswi kulazimisha sex lakini elewa huyo ni life partner, siwezi kufundisha watu kuchepuka lakini ukigunduwa mke wako anapitia kipindi cha kuvurugwa na yuko bize na Watoto hana time na wewe, usipate tabu jiongeze tu warembo wamejaa kila kona play smart.
 
Hapa ndipo ile point inapoingia kuwa oa ukiwa matured kiakili na sio kuwa mkubwa kiumri..
Angali ww mtoa mada umri mkubwa hun akili hata vijana wnye miaka 28 waliokaa miaka 8 kwenye ndoa wanakushinda akili...
 
Back
Top Bottom