Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Kijana amani na maelewano yakiwepo ndani unapiga Kila siku bila shida usidanganye watu,Mimi mwenyewe siletagi fujo amani tele napiga navyotaka Mimi.
Semeni ukweli, tunaangalia wingi. Kwani kukiwa na samaki 10, nane wakaoza, hujui kwamba kwa lugha ya jumla tunasema samaki wameoza?
 
Na hii ni hasa kwa vijana wale chini ya 30 ambao maji ni yamoto yanachemka si kitoto.

Kuoa umeoa ila usije kudhani tendo ni deile, wanaofikiri hivyo huwa ni bado ni wageni sana sidhani hata kama stage za uchumba wamekuwa na uzoefu.

Huwa kuna hedhi a.k.a period, kuboreka, kuchoka, kusafiri, kuumwa, n.k.

Katika kipindi hiki huwa unapata wapi action ama unatumia mbinu zipi ku supress.
 
Advice given late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…