Nina miaka 12 kwenye ndoa, hatujawahi kunyimana tendo. Tunagusanisha vidudu vyetu wakati wowote tunapo jisikia.Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!.
Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi na kuchomeka, haya endeleeni kudanganyana.
Wekeni mbivu na mbichi wazi. Mnapata faida gani mkiwadanganya danganya vijana nyie wazee wapumbavu wa kiafrika?! Kuna gharama gani ya kuongea uhalisia?! Wapi nimesema vijana WASIOE?!
Unajidhalilisha MzeeKwani ni wapi nimesema nina hekima mkuu? Sina hekima kwa wapumbavu kama wewe.
Aisee mbona mnatutishia ndoa ni Jela inaonekana.Ndio mkuu
Oa ila kubali ku take riskKwa mambo ya navyo endelea jaribio la kutaka kuoa lina nipa mashaka mno .
Nothing went wrong sonAdvice given late
SawaNina miaka 12 kwenye ndoa, hatujawahi kunyimana tendo. Tunagusanisha vidudu vyetu wakati wowote tunapo jisikia.
Infact kunyimwa tendo la ndoa maana yake umeshindwa kuongoza familia yako.
Mind you, miaka hiyo mbona michache sana kwenye ndoa?!Nina miaka 12 kwenye ndoa, hatujawahi kunyimana tendo. Tunagusanisha vidudu vyetu wakati wowote tunapo jisikia.
Infact kunyimwa tendo la ndoa maana yake umeshindwa kuongoza familia yako.
Ni kweli namkosea. Achilia mbali kumkosea, kuna sababu nyingi sana za wewe kutopata tendo kwa wakati au kabisa. Naongea na mtu mzima, unazifahamu.Kipi kilianza, ulianza kuwa na michepuko au ulianza kunyimwa tendo. Jitafakari. Unamkosea mkeo ndo maana anaishiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Soma aya ya mwisho ya uzi wangu nimelieleza hilo.Sawa kijana umeeleweka lakini ambacho sijaelewa ni kwanini ndoa yako unataka kuitumia kama generalization ya ndoa zote kuonekana mbaya?
Hujaelewa uzi hata kidogo. Yaani kama ni alama basi una 2/100Unajidhalilisha Mzee
Ndoa ikiwa shubiri kwako
si kwa wote.
Kwenye kipengele hicho cha kuzini walau umeongea vema. Ila kuzini unaweza kuzini hata ukioa, wangapi leo hii wanachepuka? Wangapi wananunua malaya na wameoa? Kuoa si guarantee ya kuepuka zinaa kwa 100%.Baba yako na mama yako wanaweza kukupa vyote ila si hicho kilichokufanya uoe.
vijana pateni ndoa acheni KUZINI
Siamini kama ulivyo smart kwenye kuchangia humu, eti nawe unanunua makahaba wa uwanja wa fisi wa elfu tano. Bado sitaki kuamini[emoji38]6000 tu yanitosha
Nauli 1000
5000 fisi mmoja
Kondomu bure
Sanitizer na wipes ndo pekee naenda nayo
Ndo bei zao maeneo yote ukiuziwa bei kubwa umepigwaSiamini kama ulivyo smart kwenye kuchangia humu, eti nawe unanunua makahaba wa uwanja wa fisi wa elfu tano. Bado sitaki kuamini[emoji38]