Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa

Eti umri wa 40-45 nae ni kijana? Umri wa kuanza kutumia pensheni nae unamuita kijana. Akija kuzaa yeye anafikisha 60 mtoto ndo yupo form 3. Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…