Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Kuna majasiri kibao na sio matajiri au watu waliofanikiwa, ili ufanikiwe inatakiwa uwe ruthless na stingy
Mkuu, what do you mean by being ruthless? Stingy bila shaka unamaanisha ubahili (tight wallet). Ruthless ina maana gani katika kamusi yako mkuu?
 
Making a long story short ni kwamba "uwe na roho ya ujasiri kama Rais Putin"
Kuna majasiri kibao na sio matajiri au watu waliofanikiwa, ili ufanikiwe inatakiwa uwe ruthless na stingy
Mkuu, what do you mean by being ruthless? Stingy bila shaka unamaanisha ubahili (tight wallet). Ruthless ina maana gani katika kamusi yako mkuu?
Ruthless mtu asiyekubali kushindwa na yuko tayari kutumia mbinu yeyote kufanikisha jambo lake pasipo kujali mathara kwa watu wengine
 
Kuna majasiri kibao na sio matajiri au watu waliofanikiwa, ili ufanikiwe inatakiwa uwe ruthless na stingy

Ruthless mtu asiyekubali kushindwa na yuko tayari kutumia mbinu yeyote kufanikisha jambo lake pasipo kujali mathara kwa watu wengine
Mkuu, binafsi siwezi kuhalalisha matendo ya kihalifu kama mauaji au ujambazi ili kupata fedha. Nina amini sana katika pesa halali.
 
Kaka upo?
 
Vitu hatuambiwagi na maprofesa wetu hivi lakini ndio msingi wenyewe🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…