Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

ni kweli kabisa nidhamu ni kitu cha muhimu mnoo,nidhamu ndo chanzo cha kufanikiwa katika biashara
 
Rais Magufuli atatufikisha tu kama ndani ya miaka minne ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia USA.
 
Utapewa karatasi ya kura hakikisha unampa vema Magufuli na Ccm.
 
Neno kujiajiri lina maana pana zaidi ya hiyo waliyoiona hao kina dada.

Mtu kama anapenda anachokifanya yupo tayari kutumia masaa hata 100 kwa wiki kazini maana yake hayo ndo maisha yako na hicho ujifanyacho ndicho ulichochagua na unainjoy kufanya hicho ukifanyacho.

Ila kwa asiyejua maana ya kujiajiri lazima iwe utumwa kama hao wadada.
Sababu nia yao ni pesa tu.
Na wao ni watumwa wa pesa na wala hawajui hilo.


Well bila shaka hao wadada hawajaelewa maana ya kujiajiri na hawajui nini wanataka kwenye maisha yao zaidi ya pesa na kuishi maisha yasiyo na maana wala faida kwenye jamii yao.

Ila kwa mwenye elimu ya pesa basi hayo yote waliyosema ni kweli na sahihi.
 
Magufuli ndio mwamba na vijana wanamuita Baba lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…