Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Rais Magufuli anafanya kazi ya ziada kuhusu ardhi na sasa inarudi kwa Wananchi maana mikoa mingi Wananchi waliteseka sana.
 
Mimi nimejiajiri, na nikiamua kazini siendi hata week, napiga simu tu, acha ku-complicate mambo
 
Wageni karibuni Tanzania chini ya Mzalendo Magufuli.
 
Amka ndotoni Mkuu Kwa hii CCM ya Magufuli, Wapinzani hata wangeungana na jublee ya Kenyatta Ccm ushindi ni 98%.
 
umeongea kweli tupu ambayo watu wengi hawaujui, mimi nimejiajiri baada ya kutoka kaujiriwa miaka 2 iliyopita.
Asikudanganye mtu kujiajiri ni headache moja kubwa sana, kuna muda unakuwa under pressure kubwa sababu mambo yakienda mrama hasara yote unaibeba wewe tofauti na ulivyokuwa umeajiriwa
unatengeneza pesa lakini kuna saa hata unakosa hata muda wa kutumia hiyo hela sababu ya pressure na stress za kazi yako, hakuna kitu kirahisi kabisa duniani
mwaka jana nilipata hasara kubwa sana kidogo nishikwe na depression
 
Hongera mkuu, kutoka utumwani misri
 
Tumpongeze Rais Magufuli kwa kutupeleka uchumi wa kati.
 
Wanaotaka kula bata kupata muda wa shopping,hangouts,nk nk

msijiajiri ni vyema mkafata ushauri wa mtoa mada mkabet hela zenu

za mitaji la sivyo mkifungua biashara mkiwa na mindset hizo za hao kina dada

biashara ikijitahidi sana itakua ni ile miezi 6 ya kodi ya pango la frem yako uliyolipia.

Hamna utumwa kama utumwa wa kujiajiri na utumwa unazidi kutaradadi na kuota mapembe

jinsi unavyozidi kupata hela na kuongeza biashara ndio unakua mtumwa zaidi ya wana wa misri kwa farao.
 
Ni kweli kujiajiri sio mchezo, ukiteleza kidogo hakuna wa kukuinua ila kuajiriwa unaweza kushikwa mkono. Jiagiri kimyakimya bado ukiwa umeajiriwa, ukiona mambo yanaenda basi jiajiri kikamilifu na uwajibike ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…