chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Kuajiriwa ni utumwa ulioboreshwa:
Sikia
1: Biashara ya kuajiri watu na kuwalipa mshahara ni Mfumo ulioanza baada ya kukomesha biashara ya utumwa. Kumbuka biashara ya kuchukua mtu mwingine kuzalisha mali ni Mfumo unaolipa; Katibu uone. Biashara ya utumwa ilikuwa biashara yenye faida sana. Hivyo Mfumo wa utumwa ukaboreshwa kwa misingi ya kwamba badala ya Mabwana kusaka watumwa au kuchukua mateka sasa watu wenyewe walijipeleka Ili wa kalipwe!
2: Ukiajiriwa wewe ni mtumwa, Eti mnajiita wafanyakazi mmm chelewa kazini, au usije kazini siku 2 uone!!!
3: Masaaa yote ya kuzalisha (saa 1 as-- 10 jioni ) ni mali ya muajiri, huruhusiwi kufanya kazi yoyote ya kukuingizia kipato, na ikionekana unafanya kazi za kujiongezea kipato masaa hayo unachukuliwa hatua kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma!!
4: Ikionekana huna uwezo wa kuzalisha kwa sababu zozote zile, unatemeshwa, kwa misingi ya kwamba muajiri anatafuta mtu mwingine;
5: Vijana tafuteni namna uanzishe mradi binafsi unalipa. Muajiri atakuajiri baada ya kufanya mahesabu makubwa ya kuona anapata faida kiasi gani.