Vijana muogopeni Mungu, la sivyo mtaishia jehanam

...hawa wanaojifanya wacha mungu kwenye huu uzi ukiona comment zao kwenye uzi wa kula tunda kimasihara Wala huwezi amini. ...
 
...hawa wanaojifanya wacha mungu kwenye huu uzi ukiona comment zao kwenye uzi wa kula tunda kimasihara Wala huwezi amini. ...
Hebu wanukuu komenti zao huko unakosema na zibandike hapa.
La unawaingiza wasiohusika kwenye shutuma zako.
Zungumza kwa ushahidi, la sivyo wewe ndiwe mwenye majungu.
 
Hebu wanukuu komenti zao huko unakosema na zibandike hapa.
La unawaingiza wasiohusika kwenye shutuma zako.
Zungumza kwa ushahidi, la sivyo wewe ndiwe mwenye majungu.
...why the hell would I waste my time for a goddanm nonsense...
 
Hahahahaha Niko na Neno na wewe
 
...hawa wanaojifanya wacha mungu kwenye huu uzi ukiona comment zao kwenye uzi wa kula tunda kimasihara Wala huwezi amini. ...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
What is
goddanm nonsense ?

did you mean goddamn ?

Where is your mother Language...!
If you know what I meant then why the hell are you asking???...
..Do you Know what free country means!??..

And what the hell is *where is your mother language*???
 
usitutushe. kwa sauti ya maalim seif.
 
Hicho kichwa cha habari cha huu Uzi wako Ni kama vile wewe tayari upo peponi alaf unatuangalia huku unasikitika
 
Mleta mada unapotosha, Tunapaswa kumuogopa Shetani, na kumpenda Mungu.
Unaposema tumuogope Mungu halafu tumpende nani sasa, shetani?!
 
Maandiko lazima yatimie mwenye kutoa mada. Maandiko yanaema siku za mwishoa Siku za mwisho maovu yataongezeka. Ndivyo ilivyo kwa sasa na bado tutaona mengi maovu kadri siku ile kuu ya kiama ikikaribia. (Warumi 1)

" Ingawa walimjua Mungu, hawakumpa heshima na utukufu anaostahili wala kumshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao zilizopumbaa zikatiwa giza. 22 Wakijidai kuwa ni werevu, wakawa wajinga. 23 Wakauacha utukufu wa Mungu aishiye milele wakageukia sanamu zinazofanana na mwanadamu ambaye hufa, na ndege na wanyama na viumbe vitambaavyo.

24 Kwa hiyo, Mungu aliwaacha waendelee kufuata tamaa mbaya za mioyo yao na kutenda matendo ya unajisi nakufanyiana mambo ya aibu katika miili yao. 25 Hii ni kwa sababu walikataa ukweli ku husu Mungu wakaamua kuamini uongo; wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba ahimidiwaye milele! Amina.

6 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. 27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

28 Zaidi ya hayo, kwa sababu walikataa kumtambua Mungu, yeye aliwaacha katika nia zao za upotovu watende mambo yasiyosta hili kutendwa. 29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu, tamaa na ubaya. Wamejawa na husuda, uuaji, fitina, hadaa, nia mbaya. Wao pia ni wasengenyaji, 30 wasingiziaji, wanaomchukia Mu ngu, wajeuri, wenye kiburi na majivuno; wenye hila, wasiotii wazazi wao; 31 niwajinga, wasioamini, wasio na huruma nawaka tili. 32 Ingawa wanafahamu sheria ya Mungu kwamba watu wanaoishi maisha ya namna hii wanastahili mauti, bado wanaendelea kutenda mambo haya na kuwasifu wengine wafanyao kama wao."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…