Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #201
Tatizo liko wapi nithibitishie hiyo taarifa yako wala kusingekua na huu mjadala
Wewe uzalendo una udifine vipi ??? Mimi na wewe Nani anaetumika ??? Wewe si ndio umeleta udaku wako huku unakurupuka hapa umeshindwa kunithibitishia hao wazee na vijana ni wapi ?? Mambo yenye umuhimu kwenye maisha yangu na kizazi changu unajua ni yapi ?????
All men are created equal that they are endowed by their creator with certain unalienable rights that among these are life,liberty and the pursuit of happiness ..Kama wewe katiba ndio kitu cha muhimu kwenye maisha yako na vizazi vyako hongera Sana
Ha ha paragraph ya mwisho umetaja baadhi ya vipengele vya msingi vilivyomo kwenye katiba inayopendekezwa, kuanzia Ibara ya 32 ,safi sana umejitambua na utawaeleza vijana wenzako waiunge mkono Katiba inayopendekezwa!!!!