Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

Nimesema nyie kwa sababu wewe ni mmoja wapo wa watu tuliokua tunajadiliana kuhusu hili swala ..Nani kakuambia Mimi sifuati sheria za nchi ?? Bora Mimi nafanya ujinga mbele ya watu maana ujinga huu ningeufanya chumbani na paka ningeonekana chizi nimeuweka ujinga wangu hadharani ili niweze kujifunza .maneno yangu sio sheria unachoona kunakufaa chukua hakikufai achana nacho Kama katiba wewe ndio mwiba wa maendeleo yako sawa ila tuzilazimishane vijana wa arusha tunakubaliana na hiyo katiba

Unarukaruka tu,husomeki hata unachangia nini hapa si uachane na hii mada maana naona unalikoroga kila muda afu unalinywa mwenyewe! Teh teh teh teh pisha kule.
 
Wewe usierukaruka umechangia nini ?? Halafu mkidharauliwa mnalalamika
 
mbona hoja ya uncleben iko vizur inahitaji mjadala kuwa nini amakiona ilitushirikishane mawazo. kionekanacho wakati mwingine hakina maana ya mwonekano namaanisha ukikisoma haina maana unakielewa vizur.UKIJIBU KUWA ANATEMA POVU TU mimi nakuona wewe ambaye huijibu hoja ndo unatema povu.ACHENI TABIA YA KUMSHAMBULIA MJUMBE.MSOMI ANASHAMBULIA HOJA

Ha ha ha ha mazuzu yanasifiana kwa majibu ya jerojero,nyie mnazuia mafuriko kwa ulimi mtang'oka meno!!!!
 
MTK usipate taabu endelea kukomaa na hiyo kura yako moja isiyo na impact yoyote kwenye sanduku la kura,Nothing to loose everthing to gain!!!Kura ya ndio itapigwa na watanzania wenye akili na katiba mpya ni lazima.

Unasahau kwamba in matters politics, kura inayoombwa huwa ni moja moja! na hapo ndipo kura yangu moja inapokuwa na umuhimu wa kipekee sana; lakini pia unasahau kwamba nilikwambia tumetengeneza kitu kinaitwa VUGUVUGU LA MABADILIKO; gari kuuuubwa lililosheheni wanamageuzi kibao; wasomi bobezi na wanataaluma mbalimbali; asasi za kiraia, makundi ya kijamii nk nk; ili kuhakikisha katiba ya Nyoka mwenye makengeza na Six; kura ni HAPAAANA; japo kwa kadiri ya mambo yanavyokwenda; serikali imefilisika mpaka shule za sekondari zinafungwa; tunasubiri na magereza yafungwe kwa kukosa chakula, wahalifu warudi mitaani kusubiri serikali ipate pesa wakamalizie vifungo vyao; tutabaki salama kweli!! BVR mpaka leo zipo 250/8000; zoezi la kuandikisha wapiga kura; mmmh; wiki 8 mkoa mmoja?! mikoa 30 wiki 240; sawa na miezi 60 sawa na miaka 5; kura ya maoni imeshaota mbawa! lakini kwa kuwa ninawajibika kuheshimu uhuru wako wa maoni japo sikubaliani nayo, endelea kujipa matumaini lakini wakati huo huo ukizisoma alama za nyakati na kufanya tafakuri sisisi; usiwe mvivu wa kusoma na kutafuta undani wa habari;
 
MTK a.k.a matako a.k.a BAK a.k.a TYTA a.k.a TETTY. kasome tena chekechea unaongea pumba tu hapo, huna jipya wewe.
 
Sema ndio kwa katiba inayopendekezwa kwa maslahi ya taifa letu la tanzania,epuka kupotoshwa
 
Huyu dogo sijui katokea wapi?hana mchanfo wowote kwenye hoja ni ushabiki tu sijui anafikiri ni mechi ya simba na yanga???

katokea mbinguni,toa hoja yako tuione hapa!wewe umechangia nini badala ya kuuliza nimetoka wapi,tambua nafasi ulitonayo katika kujenga nchi yako,sasa katiba inayopendekezwa iko kwetu tuipigie kura!usibakie kushangaa!
 
Unasahau kwamba in matters politics, kura inayoombwa huwa ni moja moja! na hapo ndipo kura yangu moja inapokuwa na umuhimu wa kipekee sana; lakini pia unasahau kwamba nilikwambia tumetengeneza kitu kinaitwa VUGUVUGU LA MABADILIKO; gari kuuuubwa lililosheheni wanamageuzi kibao; wasomi bobezi na wanataaluma mbalimbali; asasi za kiraia, makundi ya kijamii nk nk; ili kuhakikisha katiba ya Nyoka mwenye makengeza na Six; kura ni HAPAAANA; japo kwa kadiri ya mambo yanavyokwenda; serikali imefilisika mpaka shule za sekondari zinafungwa; tunasubiri na magereza yafungwe kwa kukosa chakula, wahalifu warudi mitaani kusubiri serikali ipate pesa wakamalizie vifungo vyao; tutabaki salama kweli!! BVR mpaka leo zipo 250/8000; zoezi la kuandikisha wapiga kura; mmmh; wiki 8 mkoa mmoja?! mikoa 30 wiki 240; sawa na miezi 60 sawa na miaka 5; kura ya maoni imeshaota mbawa! lakini kwa kuwa ninawajibika kuheshimu uhuru wako wa maoni japo sikubaliani nayo, endelea kujipa matumaini lakini wakati huo huo ukizisoma alama za nyakati na kufanya tafakuri sisisi; usiwe mvivu wa kusoma na kutafuta undani wa habari;

Unaleta siasa wewe wenzio tunasubiri tarehe ya kujiandikisha ifike katika maeneo yetu then tukapige kura,hayo mambo unayoyasema wewe unasumbuka tu!mwaka huu tutajiandikisha,tutapiga kura kumchagua rais,wabunge na madiwani,na kikubwa zaidi ni Katiba mpya ambayo haiepukiki!hizo kelele zako ukae nazo mwenyewe na ukipenda zaidi siku hiyo usije kabisa kupiga kura uone wenzako kibao wenye akili watakavyofanya kweli!!! Chezea watanzania na kura ya ndiyo!!
 
Mie naona watu wameaanza kutambua umhimu wa katiba!na kuepuka Hamasa zisizo na maaana!kongole wana Arusha
 
Back
Top Bottom