Vijana na wazee tusikose kula

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa miaka 10 ijayo huu ni uongo kiukweli so i can't

Naamini mtakaozaliwa na nyie mtakula mtakavyovikuta kama sisi tunavyokula tunavyopata muda huu. So nawaomba Vijana wazee msijibane hakikisheni mnakula vizuri mnalala pazuri maana unajibana weee then ukifa watoto wako wanagombea Mali na wanaenda kidimbwi so ni ujinga kujinyima kula na kulala pazuri.

Tufanye Kazi huku tunakula hawa warithi hawana Shukrani.
 
Mkuu kapicha ka godoro la futi 10, mshahara unatoka kesho nilale pazuri
 
So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa miaka 10 ijayo huu ni uongo kiukweli so i can't


Naamini mtakaozaliwa na nyie mtakula mtakavyovikuta kama sisi tunavyokula tunavyopata muda huu
😅😅😅we jamaa miaka 10 itakukuta pesa zote umemalizia kwenye juicy na wala hujafa
 
😅😅😅
 

[emoji23][emoji23][emoji1607]
 
kwenye maisha ukishamaliza kula vizuri hakikisha unakojoa pazuri.. Msisahau nyumba ni choo
 
Kula vizuri ni jambo jema kwa kuijali afya yako. Ila kama unakula kwa kufuru hapo unajikomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…