Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakufa Sana jiandae na weweTafadhali ndugu tusitishane. Hiyo group A ya damu vipi?
Ndiyo mnadanganyana kwenye vijiwe vya kahawa??sioNinachojua tu ni kwamba Mvuta Bangi na Mnywa Gongo kamwe hata iweje hawezi kupata Corona kwa 100% hata akiwa amekaa / amezungukwa na Wagonjwa 100 wa Covid-19.
Study zisizo rasmi za wagonjwa wa HIV hawajathirika pakubwa na Corona km ilivyotarajiwa awali kupitia dhana iliyosemwa severity ya Corona inahusishwa na kuwepo kwa magonjwa mengine ya Muda mrefu!kwaajili Mungu ashukuriwe maana maafa yake yangekuwa makubwa kwa Africa, kuna watu wanajaribu kuhusisha locally matumizi ya ARVs na hali hii though hakuna study iliyofanyika kuthibitisha hili.Kisukari ni noma kuliko ngoma, labda kwa ngoma uwe na hali ya tia maji tia maji lakini CD4 400+ zinapoganawna COVID kisawa sawa.
Shindwa na ulegeeWanakufa Sana jiandae na wewe
Group A inahusikaje mkuu , hebu nipe darasa kidog kama hutojali
China waliwahi kufanya tafiti juu ya hili pia They compared the ABO blood group distribution in 2173 patients with COVID-19 from 3 hospitals in Wuhan and Shenzhen, China, with that in the general population in those regions.Data zinaonyesha wenye group A Corona inawapa shida sana na ni kweli mtoto wa ndugu yangu miaka 30 tu yupo KCMC hawezi kupumua type A, rafiki yangu amekufa mwezi wa nne mwaka jana 45 years type A alikuwa mwanajeshi bongo fit sana mwenye afya na kaka yake yupo Houston, Texas kwenye life support tunavyoongea wote type A.
Yaani mm hata mpira sizingatii....ulaya wamebadili mifumo, sasa sijui Tz kuna shida ipiVijana ndiyo wanaeneza corona na wazee , wenye damu group A , wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa. Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu
Umekosea babu ukiwa na ngoma lkn kinga zako ziko juu wewe unakuwa salama kabisa.Ukiwa na kisukari na pressure unaweza kupona korona kirahisi. Tatizo ukiwa na Ngoma
Huyu jamaa mleta uzi anapotosha sana jamiiGroup A inahusikaje mkuu , hebu nipe darasa kidog kama hutojali
Umeeleweka vizuri sana mkuuKisukari ni noma kuliko ngoma, labda kwa ngoma uwe na hali ya tia maji tia maji lakini CD4 400+ zinapoganawna COVID kisawa sawa.
Inaonekana wewe ni mojawapo kwenye hayo makundi,we jichanganye uone nguvu ya kimbunga cha koronaNinachojua tu ni kwamba Mvuta Bangi na Mnywa Gongo kamwe hata iweje hawezi kupata Corona kwa 100% hata akiwa amekaa / amezungukwa na Wagonjwa 100 wa Covid-19.
Mkuu atakuja kukwambia wakati gani wakati ikisha mzoa?Data zinaonyesha wenye group A Corona inawapa shida sana na ni kweli mtoto wa ndugu yangu miaka 30 tu yupo KCMC hawezi kupumua type A, rafiki yangu amekufa mwezi wa nne mwaka jana 45 years type A alikuwa mwanajeshi bongo fit sana mwenye afya na kaka yake yupo Houston, Texas kwenye life support tunavyoongea wote type A. Kama wewe ni type A kuwa makini sana hakuna mtu anajua sababu. Msiwe na tabia ya kuiga iga sana someni data za tafiti. Hata chanjo wengi hawasomi data. Ukiiga kwasababu wewe ni kijana kama una type A utakuja kuniambia.
Ninakazia, ashindwe kabisa mkuu.Shindwa na ulegee