#COVID19 Vijana ndiyo wanasambaza Covid-19

#COVID19 Vijana ndiyo wanasambaza Covid-19

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Vijana ndiyo wanaeneza corona na wazee wenye damu group A, wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa.

Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu.

Group A inahusikaje mkuu, hebu nipe darasa kidog kama hutojali
 
Ninachojua tu ni kwamba Mvuta Bangi na Mnywa Gongo kamwe hata iweje hawezi kupata Corona kwa 100% hata akiwa amekaa / amezungukwa na Wagonjwa 100 wa Covid-19.
 
Ninachojua tu ni kwamba Mvuta Bangi na Mnywa Gongo kamwe hata iweje hawezi kupata Corona kwa 100% hata akiwa amekaa / amezungukwa na Wagonjwa 100 wa Covid-19.
Ndiyo mnadanganyana kwenye vijiwe vya kahawa??sio
Endeleeni kula bangi na gongo
 
Kisukari ni noma kuliko ngoma, labda kwa ngoma uwe na hali ya tia maji tia maji lakini CD4 400+ zinapoganawna COVID kisawa sawa.
Study zisizo rasmi za wagonjwa wa HIV hawajathirika pakubwa na Corona km ilivyotarajiwa awali kupitia dhana iliyosemwa severity ya Corona inahusishwa na kuwepo kwa magonjwa mengine ya Muda mrefu!kwaajili Mungu ashukuriwe maana maafa yake yangekuwa makubwa kwa Africa, kuna watu wanajaribu kuhusisha locally matumizi ya ARVs na hali hii though hakuna study iliyofanyika kuthibitisha hili.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kinga ya vijana ipo juu, kijana anapata mambukizi, anapigana na corona kwa homa nk, mzee akienda muona kijana hapo ndio moto unawaka

Familia nyingi zimepoteza wazazi chanzo kijana furani alipata akamuambukiza mzee
 
Group A inahusikaje mkuu , hebu nipe darasa kidog kama hutojali

Data zinaonyesha wenye group A Corona inawapa shida sana na ni kweli mtoto wa ndugu yangu miaka 30 tu yupo KCMC hawezi kupumua type A, rafiki yangu amekufa mwezi wa nne mwaka jana 45 years type A alikuwa mwanajeshi bongo fit sana mwenye afya na kaka yake yupo Houston, Texas kwenye life support tunavyoongea wote type A.

Kama wewe ni type A kuwa makini sana hakuna mtu anajua sababu. Msiwe na tabia ya kuiga iga sana someni data za tafiti. Hata chanjo wengi hawasomi data. Ukiiga kwasababu wewe ni kijana kama una type A utakuja kuniambia.
 
Data zinaonyesha wenye group A Corona inawapa shida sana na ni kweli mtoto wa ndugu yangu miaka 30 tu yupo KCMC hawezi kupumua type A, rafiki yangu amekufa mwezi wa nne mwaka jana 45 years type A alikuwa mwanajeshi bongo fit sana mwenye afya na kaka yake yupo Houston, Texas kwenye life support tunavyoongea wote type A.
China waliwahi kufanya tafiti juu ya hili pia They compared the ABO blood group distribution in 2173 patients with COVID-19 from 3 hospitals in Wuhan and Shenzhen, China, with that in the general population in those regions.

The researchers found that type O blood was associated with a lower risk for COVID-19, while type A blood was associated with a higher risk.
 
Vijana ndiyo wanaeneza corona na wazee , wenye damu group A , wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa. Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu
Yaani mm hata mpira sizingatii....ulaya wamebadili mifumo, sasa sijui Tz kuna shida ipi
 
Ninachojua tu ni kwamba Mvuta Bangi na Mnywa Gongo kamwe hata iweje hawezi kupata Corona kwa 100% hata akiwa amekaa / amezungukwa na Wagonjwa 100 wa Covid-19.
Inaonekana wewe ni mojawapo kwenye hayo makundi,we jichanganye uone nguvu ya kimbunga cha korona
 
Data zinaonyesha wenye group A Corona inawapa shida sana na ni kweli mtoto wa ndugu yangu miaka 30 tu yupo KCMC hawezi kupumua type A, rafiki yangu amekufa mwezi wa nne mwaka jana 45 years type A alikuwa mwanajeshi bongo fit sana mwenye afya na kaka yake yupo Houston, Texas kwenye life support tunavyoongea wote type A. Kama wewe ni type A kuwa makini sana hakuna mtu anajua sababu. Msiwe na tabia ya kuiga iga sana someni data za tafiti. Hata chanjo wengi hawasomi data. Ukiiga kwasababu wewe ni kijana kama una type A utakuja kuniambia.
Mkuu atakuja kukwambia wakati gani wakati ikisha mzoa?
 
Back
Top Bottom