#COVID19 Vijana ndiyo wanasambaza Covid-19

Halafu vijana wengi hawajielewi kabisa ,wanajichanganya kwenye makundi ya watu na kwenye daladala bila barakoa yaani wanaishi kama vile hakuna corona tahadhari ni "NEI" na ndio wanaopelekea wazee majumbani.
 
Ukiwa na kisukari na pressure unaweza kupona korona kirahisi. Tatizo ukiwa na Ngoma
hapana aisee. kidukari huwa inashusha immunity ya mwili. bora hata pressure.
clrona ikikukuta na kisukari imekula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…