Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Tuseme huyu ndo kiongozi kapewa ofisi na account ya benki ya kampuni
 

Attachments

  • Screenshot_20240614_150022_Facebook.jpg
    Screenshot_20240614_150022_Facebook.jpg
    186.6 KB · Views: 4
Kuna malaya wapo macho juu juu kuangalia fursa utakuta kabla hajapata kitu alikuwa hata salamu ya huyo pimbi haitiki na hapo kamuacha mtu kahamia kwa huyu nae amuumize.

Kinachofuata anaenda kumuibia zikiisha am-damp angaalie fursa kwingine,ni kawaida yao hao.
 
Mwamba hajamtumia bi mkubwa au faza hata kilo ya mchele kadaka goma
Unajua mkuu tupo vijana maisha yanatupiga sana lakini siyo kwa sababu hatujui kutafuta au hatujui kuweka akiba lah vijisababu vidogo vidogo kama hivi ndiyo hutuletea madhila.

Mtu anakaa mwezi mzima hata mia hatumi kwa mzazi huku akijua mzazi yupo kijijini hali mbaya analia njaa,hautoboi kama huyo ndiyo anaenda kufa kabisa maana zikiisha hizo demu hana hela hana na akili nazo zitaruka.
 
Tuache kuwa washauri wa pesa za watu.

Ukijiona una akili tafuta zako ufanye unayoona sahihi.
Ushauri unaweza kukubaliwa au kuakataliwa i.e. kutupiliwa mbali. Faida iliyopo ni kwa yule aliyetoa ushauri na ushauri wake ukatupiliwa mbali - huyo amejiwekea kinga kwani baadaye mambo yakienda mrama, yule mwathirika aliyekataa ushauri hawezi tena kurudi kukusumbua kwani ulishamwonya.
 
Back
Top Bottom