Vijana nendeni mkafanye interview punguzeni malalamiko...

Vijana nendeni mkafanye interview punguzeni malalamiko...

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
 
Yaa mwenda zake alizingua enzi za mzee wa msoga palikuwa hakuna interview kukaa miaka 3 kuto kuajiri haya ndo matokeo yake
 
Waendee wakaonyeshane uwezo, mwenyew uwezo atapita no way mkasikilizwa kwa kulalamika JF
 
Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
Yaaani kila kola malalamiko aiseee watazoea lkn ngoja muda uzidi kwenda

Waalimu na nurse na daktari vilio sana
 
Hakuna haja ya kwenda kusaili maana mama kaharibu mfumo wa ajira
 
Yaa mwenda zake alizingua enzi za mzee wa msoga palikuwa hakuna interview kukaa miaka 3 kuto kuajiri haya ndo matokeo yake
Sio kweli hata hivyo sasaiv kuna vyuo vyingi vinatoa wahitimu kwa hiyo idadi ni kubwa ya wahitimu hakuna namna utaepuka usaili! Vijana acheni malalamiko!
 
Mm nasubir kilio cha waalimu mana ndio wako wengi kuzidi watu wa afya 😂
 
Get involved in things that you love because everything is connected
 
Back
Top Bottom