Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Yaaani kila kola malalamiko aiseee watazoea lkn ngoja muda uzidi kwendaKwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
Sio kweli hata hivyo sasaiv kuna vyuo vyingi vinatoa wahitimu kwa hiyo idadi ni kubwa ya wahitimu hakuna namna utaepuka usaili! Vijana acheni malalamiko!Yaa mwenda zake alizingua enzi za mzee wa msoga palikuwa hakuna interview kukaa miaka 3 kuto kuajiri haya ndo matokeo yake
Kitendo tu cha kutokwenda usaili huo ndo usahili wenyewe utakuwa umejichuja mwenyewe! Hakuna namna utaajiriwa serikalini bila usailiHakuna haja ya kwenda kusaili maana mama kaharibu mfumo wa ajira
Kuna nafasi katika mashirika ya kimataifa ila interview ni "lugha ya malkia " mpo tayari? Basi tuwaachie Wakenya na Waganda.