zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
madogo wengi wa tz ni kama majinga majinga hivi... mkuu wewe yaache, don't waste your time. acha yafe.Sawa ni chai
Muongo, tapeli ,mzandikiiiiiKuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
the childrens ❎kumbe mna changamoto sawa na zinazofanana gentleman?🤣
ila I appreciate ukarimu wako kwake, that's how we should be living as human being, the childrens of mama Tanzania 🐒
Si alewe baada ya kupelekaKuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
Niunganishe na mrija wa pesa bwashee unataka niendelee kukaa kwa shemeji like a potatoKiaje bwashee
Sina dharau binadamu walevi, nadharau tabia ya ulevi. PeriodtWewe si unatudharau walevi kila siku humu bwashee 🤣🤣
thank you mwalimu 👊the childrens ❎
the children✅
mtibwa mkuu takuchek pmIpo kiwanda cha mtibwa