Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Be the change u wanna seeMahandishi mengi ila sijajua unasema nini
Ni sahihi kabisa viongozi wabaya hupita lakini nchi inabakiWakati nipo chuo mwaka wa mwisho , tulifanya semina .
Ushauri Ambao tulipewa na lecturer ulisema hivi
"Yawezekana usifurahishwe na kinachoendelea katika nchi yako , Ila hiyo isikufanye kuwa na CHUKI kwakuwa viongozi wabaya hupita Ila nchi hubaki"
I feel so sorry ile 29/10 Kijana anachoma nchi yake kisa viongozi amabao hakubaliani nao na kusahau kuwa viongozi wabaya wanapita Ila nchi inabaki
JAMBO hili nililipokea kwa hisia Sana mpaka nikasema ,
Kama MTU mzima ninao wajibu wa kuhakikisha tunasambaza elimu ya kujitambua na kutenganisha mambo kati ya
Viongozi wabaya , nchi mbaya n.k
Nchi yetu sio Mbaya na haijawahi kuwa mbaya
KIJANA IPENDE NCHI YAKO NA USIICHOME NCHI YAKO BAD LEADERS PASS BUT THE COUNTRY REMAINS
Ni sahihi kabisa viongozi wabaya hupita lakini nchi inabaki
Just imagine if hawa vijana wangewaza hivi kama ulivyoandika hapo, leo tungekuwa na story tofauti kabisa
Yaliyopita sindwele tugange yajayo
Sasa tuwaze hivyo kwamba hata awamu hii itapita basi kikubwa subira,huenda huko mbeleni kutakuwa na unafuu
vijana hasira za muda mfupi huenda zikaangamiza future yako nzima
fanya uamuzi wa busara
Inahuzunisha sana kwakweli
Hivi Mkuu uislam ni Dini ya haki au Amani?Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Na kuna faida gani kama hatutumii uelewa wetu wa mambo to pass through to our young brothers and sistersSahihi .
Think - re think before you sink.
Sisi Kama matured men tumeona IPO responsibility ya kuhakikia we impart knowledge and wisdom kwa vijana ambao they will lead tomorrow .
Na endapo tukikaa kimya tungekuwa tumeamua kuhatarisha decent future ya nchi yetu.
Hatujachelewa na haturudi nyuma.
Ujue sio level yakoMahandishi mengi ila sijajua unasema nini
Jadili mada iliyopo mezani tafadhaliHivi Mkuu uislam ni Dini ya haki au Amani?
Sahihi .Na kuna faida gani kama hatutumii uelewa wetu wa mambo to pass through to our young brothers and sisters
Zamani wazee walikuwa wanatoa elimu kwa baba zetu na mama zetu
Hata nasi tunaweza onyesha njia sahihi ya kupita na vijana wasipotee
Let us play our part and the rest is up to them
Hakuna kijana anasubiri kuambiwa na ww au HAYA LAND HOV. Hakuna mazungumzo hayawajawahi kuombwa. Hadi uchaguzi tukaomba usogezwe mbele mkawa mnatuona wajinga. Katiba mpya mpaka ikawa wimbo, mkafikia hadi kusema kwa kejeli hadharani kuwa katiba haileti ugali mezani! Ni mazungumzo gani mnayataka sasa wakati hamko madarakani kwa ridhaa ya umma?View attachment 3517134
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni yule ambaye yupo open minded kusikiliza na upande wa pili hata kama ahafikiani na maoni na mawazo yao,na huo ndio ukomavu
Twende kazi..
Raisi Obama aliwahi kusema kwenye speech ambayo ilikuwa maarufu sana hapa duniani
"Mabadiliko hayatakuja kama tukisubiri mtu mwingine au wakati mwingine, bali sisi ndio mabadiliko yenyewe"
Vijana wa Tanzania nyinyi ndio mabadiliko yenyewe,msisubiri eti atakuja mtu kuwaambia kwamba Linda uhai wako kwa kuepuka fujo na vurugu,bali nyinyi ndio mseme sasa hatupo tayari kutumiwa tena kwa faida ya watu wengine
Nyinyi ndio wa kuamua kwa sauti kubwa kusema hatuwezi kuchoma nchi yetu Tanzania kwa maslahi ya watu wachache wenye malengo mahususi.
Ifike kipindi mseme inatosha sasa,hatuwezi kupoteza uhai wetu kwa mikakati ambayo haina tija,mikakati ambayo haina mwisho mwema,
Raisi wa Afrika Kusini bwana Nelson Mandela alisema hivi:
Mabadiliko ya kweli hayafikiwi kwa chuki au kwa kulipa kisasi,ila kupitia kusameheana na kupitia mazungumzo
Huyu ni mtu aliyefungwa miaka 27 jela kwa kupigania taifa la Afrika Kusini,baadae akaja kutolewa na kuwa raisi wa Nchi hiyo
Alikuwa na kila sababu ya kulipiza kisasi na kuwafunga watesi wake au kuwafukuza pale Afrika Kusini ndani ya masaa 24 tu. Lakini allichagua kusamehe na mazungumzo
Huu ni utajiri mkubwa wa nafsi yenye uelewa wa hali ya juu sana,ukomavu wa hali ya juu sana na roho yenye kusamehe
Tunatambua tumeumizwa sana na mioyo yetu inavuja damu,kutokana na madhila yaliyo wakumbuka ndugu zetu,lakini suluhisho sio kuandamana na kujawa na hasira na kuharibu mali na miundo mbinu,hio sia njia sahihi
Njia sahihi ni kupitia mazungumzo,njia ya mazungumo duniani kote ndio imekuwa mwarobaini wa changamoto nyingi sana,kwahiyo tuwe na subira kubwa wakati suluhu ya kuliponya taifa ikiwa katika pipeline
Tukumbuke nyinyi ndio mabadiliko yenyewe basi chagueni mabadiliko chanya
Ni hayo tu!
Hakuna kijana anasubiri kuambiwa na ww au HAYA LAND HOV. Hakuna mazungumzo hayawajawahi kuombwa. Hadi uchaguzi tukaomba usogezwe mbele mkawa mnatuona wajinga. Katiba mpya mpaka ikawa wimbo, mkafikia hadi kusema kwa kejeli hadharani kuwa katiba haileti ugali mezani! Ni mazungumzo gani mnayataka sasa wakati hamko madarakani kwa ridhaa ya umma?
Mfano wa Nyani umenikumbusha kisa cha watu wa kwenye boti au jahaziSahihi .
ABIRIA KAMA TUPO KATIKA MELI MOJA HATUWEZI KUCHEKANA
KUNA WATU NI WAJINGA SANA HAWANA hata DOLA 100 BANK ILA WANASAPOTI MAANDAMANO NA VURUGU
WAPO KAMA NYANI AMBAYE ANAWEZA AKACHEKA PALE MSITU UKIUNGUA AKIWA HAJUI KUWA JIONI ATAKOSA PAKULALA.
HAIJALISHI NCHI INAENDAJE ILA ZIPO NJIA ZA KU- FIGURE OUT NA KU- REWRITE OUR OWN STORY
KUNA MTU AKASEMA WATU WAJINGA SIKU ZOTE HUWA WANATAKA KUANZA MARATHON AT THE FINISH LINE
Wakiona wanasiasa they are living luxury life wanafikiri ni jambo jepesi kuwa mwanasiasa .
Wanasahahu how many people have been killed , gunned , n.k
So we have to embrace the process there's no overnight success .
Congenital Hypocrite and LiarView attachment 3517134
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni yule ambaye yupo open minded kusikiliza na upande wa pili hata kama ahafikiani na maoni na mawazo yao,na huo ndio ukomavu
Twende kazi..
Raisi Obama aliwahi kusema kwenye speech ambayo ilikuwa maarufu sana hapa duniani
"Mabadiliko hayatakuja kama tukisubiri mtu mwingine au wakati mwingine, bali sisi ndio mabadiliko yenyewe"
Vijana wa Tanzania nyinyi ndio mabadiliko yenyewe,msisubiri eti atakuja mtu kuwaambia kwamba Linda uhai wako kwa kuepuka fujo na vurugu,bali nyinyi ndio mseme sasa hatupo tayari kutumiwa tena kwa faida ya watu wengine
Nyinyi ndio wa kuamua kwa sauti kubwa kusema hatuwezi kuchoma nchi yetu Tanzania kwa maslahi ya watu wachache wenye malengo mahususi.
Ifike kipindi mseme inatosha sasa,hatuwezi kupoteza uhai wetu kwa mikakati ambayo haina tija,mikakati ambayo haina mwisho mwema,
Raisi wa Afrika Kusini bwana Nelson Mandela alisema hivi:
Mabadiliko ya kweli hayafikiwi kwa chuki au kwa kulipa kisasi,ila kupitia kusameheana na kupitia mazungumzo
Huyu ni mtu aliyefungwa miaka 27 jela kwa kupigania taifa la Afrika Kusini,baadae akaja kutolewa na kuwa raisi wa Nchi hiyo
Alikuwa na kila sababu ya kulipiza kisasi na kuwafunga watesi wake au kuwafukuza pale Afrika Kusini ndani ya masaa 24 tu. Lakini allichagua kusamehe na mazungumzo
Huu ni utajiri mkubwa wa nafsi yenye uelewa wa hali ya juu sana,ukomavu wa hali ya juu sana na roho yenye kusamehe
Tunatambua tumeumizwa sana na mioyo yetu inavuja damu,kutokana na madhila yaliyo wakumbuka ndugu zetu,lakini suluhisho sio kuandamana na kujawa na hasira na kuharibu mali na miundo mbinu,hio sia njia sahihi
Njia sahihi ni kupitia mazungumzo,njia ya mazungumo duniani kote ndio imekuwa mwarobaini wa changamoto nyingi sana,kwahiyo tuwe na subira kubwa wakati suluhu ya kuliponya taifa ikiwa katika pipeline
Tukumbuke nyinyi ndio mabadiliko yenyewe basi chagueni mabadiliko chanya
Ni hayo tu!
Nyinyi hampo kiulaumu serekali, ila mpo kuhakikisha serekali haihusishwi na mauaji na wizi wa kura. Sisi hatuchezi hiyo ligi yenu ya kikubwa maana inaweza kuwa ni ya makubwa jinga, sisi tunacheza ligi ya haki, haijalishi umri, mahali ama hali.Be the change you want to see
Sisi hatupo hapa kulaumu Serikali au vyama
Sisi hatuchezi LIGI NDOGO sisi tunacheza LIGI KUBWA inaitwa DON'T PLAY SOMEONE'S GAME
KWAHIYO UNAPOSEMA UNALAUMU HIVI AU VILE MEANS UNATAKA TUCHEZE LIGI NDOGO
AHAAA NIGGER !! HIYO MIJADALA YA KITOTO HATUPO SISI
THIS IS ANOTHER LEVEL
ALL I KNOW ALOT OF MOTHERFUCKERS WATALIA SANA MILIO YA KILA AINA KWAKUWA TUNAHATARISHA UGALI WAO .
Huwa nashindwa kuwaelewa mbona unaandikwa ujumbe mwingine halafu watu mnatoa tafsir nyingineCongenital Hypocrite and Liar
Unafurahia vijana kufa halafu unajidai ati unawapa mawazo
Kama kweli mną huruma mgeiba uchaguI? Mngeua? Mngewafunga wapinzani? Mngeteka watu na kuwapoteza?