Watu wote pamoja na weweUna mpambania nani wewe? [emoji28][emoji28]
Hapana zilianza rasmi kuwa public siku ya uchaguzi na kuendeleaVurugu hazikuanza October zimeanz baada ya kutekwa n a kupotezwa watu
Wewe poyoyo, viongozi wa CCM sio nchi na kuwachukuia pamoja na utawala wao mbaya uliokithiri utekaji, mauaji, ufisadi na incompetency sio kuichukia nchi, tangu umerukia huo upande ni kama sasa unafikiria kwa masaburi.Wakati nipo chuo mwaka wa mwisho , tulifanya semina .
Ushauri Ambao tulipewa na lecturer ulisema hivi
"Yawezekana usifurahishwe na kinachoendelea katika nchi yako , Ila hiyo isikufanye kuwa na CHUKI kwakuwa viongozi wabaya hupita Ila nchi hubaki"
I feel so sorry ile 29/10 Kijana anachoma nchi yake kisa viongozi amabao hakubaliani nao na kusahau kuwa viongozi wabaya wanapita Ila nchi inabaki
JAMBO hili nililipokea kwa hisia Sana mpaka nikasema ,
Kama MTU mzima ninao wajibu wa kuhakikisha tunasambaza elimu ya kujitambua na kutenganisha mambo kati ya
Viongozi wabaya , nchi mbaya n.k
Nchi yetu sio Mbaya na haijawahi kuwa mbaya
KIJANA IPENDE NCHI YAKO NA USIICHOME NCHI YAKO BAD LEADERS PASS BUT THE COUNTRY REMAINS
Wewe poyoyo, viongozi wa CCM sio nchi na kuwachukuia pamoja na utawala wao mbaya uliokithiri utekaji, mauaji, ufisadi na incompetency sio kuichukia nchi, tangu umerukia huo upande ni kama sasa unafikiria kwa masaburi.
Anza na kuimbia serikali yako iweke idadi ya watu waliouwawa, rudisheni miili ya watu ambao hawajapatikana mpaka sasa halafu mtachangiwa pesa za kurudisha kibanda cha Shilole muendelee kula ubabwa na kisamvu hapo.Mimi nipo hapa kuweka mambo sawa na kuondoa unafiki na uhuni mliofanya 29/10
Anza na kuimbia serikali yako iweke idadi ya watu waliouwawa, rudisheni miili ya watu ambao hawajapatikana mpaka sasa halafu mtachangiwa pesa za kurudisha kibanda cha Shilole muendelee kula ubabwa na kisamvu hapo.
Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwaWatanzania hawatakaa kimya kama dhuruma ,uuajia,utekaji ,kupoteza watu,uuzaji wa mali za Taifa,kuchezea chaguzi n.k kama vitaendelea,
Ila nyie warundi msio kuwa na uchungu na Taifa hili wala watu wake kaani pembeni tu,waacheni vijana wapambanie future yao na kama kufa watafia nchini mwao.
Hakuna mzalendo anae ogopa kufa katika kudai haki yake .
Hiyo amani mnayo ihubiri kawahubirieni wake zenu,sio watanzania
Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa
Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa
they are not playing someone's game
Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa
Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa
they are not playing someone's game
We mpumbavu umeshazeeka subiri kufa haya mambo ni ya wanaume sio nyie wanawakeHivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa
Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa
they are not playing someone's game
Mbona Samuya na genge lake la kina Chala, J4, Dully boy na wengine hawakenda road kupambana na waandamanaji??Hivyo ndivyo mnavyojua kufanya,kusema vijana watapambania nchi yao,halafu upo mtandaoni kwenye road huendi,tena huenda jamaa zako wa karibu unawaambia wawe makini wasiende road,ila vijana wasiojua kuchanganua mambo ambao wakijazwa hamasa kidogo tu hao kama nyumbu wanaenda kuuliwa
Hawa ndio tunawatetea sisi, hakuna tena maandamano yasiyo na dira,watu wameanza kujielewa sasa
they are not playing someone's game
Hao wana watu wa kuwafanyia kaziMbona Samuya na genge lake la kina Chala, J4, Dully boy na wengine hawakenda road kupambana na waandamanaji??
Mbona Samuya na genge lake la kina Chala, J4, Dully boy na wengine hawakenda road kupambana na waandamanaji??
Haandamani mtu ndugu yangu,watu wameanza kujielewa sanaWe mpumbavu umeshazeeka subiri kufa haya mambo ni ya wanaume sio nyie wanawake
Hao wana watu wa kuwafanyia kazi
We mpumbavu umeshazeeka subiri kufa haya mambo ni ya wanaume sio nyie wanawake
Hapana sijasikia,maana yake wamewafanya vijana wetu chambo na njia ya kutimiza malengo yaoYaani viongozi wa Chadema na ndugu zao je kuna MTU umesikia ameuliwa hiyo 29/10?
💪💪Wanawake unaowadharau ndo walikulaza ndani siku tano na kukuzimia Internet na mpaka sasa unajiliza hapa mtandaoni
Hapana sijasikia,maana yake wamewafanya vijana wetu chambo na njia ya kutimiza malengo yao
Hapana kijana amka sasa jitambueni
Yaani mchafue chaguzi na kufanya utekaji kisha uje ujifanye tatizo lilianza 29/10? Kajadilianeni na viongozi ww ccm ambao hawaamini kuwa hiki sio kizazi cha ccm, na kuendelea kunajisi chaguzi zetu ndio kumetufikisha hapa. Na kwa taarifa yenu msiombe tukamate silaha za moto, maana kama nyie mnaingia madarakani kwa mtutu wa bunduki, na sisi tutatumia huo huo mtutu kupata ushindi.Mimi nipo hapa kuweka mambo sawa na kuondoa unafiki na uhuni mliofanya 29/10