nyboma JF-Expert Member Joined Aug 29, 2021 Posts 2,308 Reaction score 7,366 Jun 11, 2022 #1 Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Jun 11, 2022 #2 Vijana wanataka kitonga... Pesa zao ni za kununua pamba, MB, pafyumu, Jim...
Cytochrome p450 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 5,638 Reaction score 15,044 Jun 12, 2022 #3 Chawa mko wapi?
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 12, 2022 #4 jamaa kang'atwa na chawa kwenye starehe
C Chiumbe JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 566 Reaction score 828 Jun 12, 2022 #5 Chawa anauma jamny
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,710 Reaction score 2,951 Jun 12, 2022 #6 Donatila said: Vijana wanataka kitonga... Pesa zao ni za kununua pamba, MB, pafyumu, Jim... Click to expand... Umeua mkuu, hii kitu nakutana nayo Sana kwenye maisha yangu ya Kila siku.
Donatila said: Vijana wanataka kitonga... Pesa zao ni za kununua pamba, MB, pafyumu, Jim... Click to expand... Umeua mkuu, hii kitu nakutana nayo Sana kwenye maisha yangu ya Kila siku.