Vijana si taifa la kesho, tuna vijana wanahitaji taifa sasa

Vijana si taifa la kesho, tuna vijana wanahitaji taifa sasa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ule usemi wa vijana taifa la kesho ufutwe na utokomezwe sababu umebeba ubinafsi wa umri fulani kwenye madaraka na ajira.

Vijana ndio nguvu kazi inayoitajika leo sio kesho iliyochoka na umri umekwenda.

Vijana wanatakiwa kuwezeshwa kuendesha taifa lao sio kesho maana hakuna mtu aliyesema kesho ndio hii.

Vijana wameshindwa kutengenezewa misingi mizuri mkiwadanganya kesho.

kila kukicha tuna vijana wapya sasa tukianza kusema wawe wa kesho utarundika wangapi.
 
Ukiangalia teuzi zinazofanyika kwenye serikali fulani, utakuta mtu alistaafu lakini anarudishwa kwenye nyadhifa, sasa hapo vijana wana nafasi kweli.

Ova
 
Back
Top Bottom