Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jan 17, 2023 #1 Ule usemi wa vijana taifa la kesho ufutwe na utokomezwe sababu umebeba ubinafsi wa umri fulani kwenye madaraka na ajira. Vijana ndio nguvu kazi inayoitajika leo sio kesho iliyochoka na umri umekwenda. Vijana wanatakiwa kuwezeshwa kuendesha taifa lao sio kesho maana hakuna mtu aliyesema kesho ndio hii. Vijana wameshindwa kutengenezewa misingi mizuri mkiwadanganya kesho. kila kukicha tuna vijana wapya sasa tukianza kusema wawe wa kesho utarundika wangapi.
Ule usemi wa vijana taifa la kesho ufutwe na utokomezwe sababu umebeba ubinafsi wa umri fulani kwenye madaraka na ajira. Vijana ndio nguvu kazi inayoitajika leo sio kesho iliyochoka na umri umekwenda. Vijana wanatakiwa kuwezeshwa kuendesha taifa lao sio kesho maana hakuna mtu aliyesema kesho ndio hii. Vijana wameshindwa kutengenezewa misingi mizuri mkiwadanganya kesho. kila kukicha tuna vijana wapya sasa tukianza kusema wawe wa kesho utarundika wangapi.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Jan 17, 2023 #2 Ukiangalia teuzi zinazofanyika kwenye serikali fulani, utakuta mtu alistaafu lakini anarudishwa kwenye nyadhifa, sasa hapo vijana wana nafasi kweli. Ova
Ukiangalia teuzi zinazofanyika kwenye serikali fulani, utakuta mtu alistaafu lakini anarudishwa kwenye nyadhifa, sasa hapo vijana wana nafasi kweli. Ova