Nyie mnataka kupewa tuu, Baby naomba laki, naomba elfu 50 ,huwa mna rudisha, au ukitoa uchi ndiyo unaona ume maliza kazi, mtaji uchi au siyo ?!
Maisha haya angalii una K au Dudu ... Maisha yana kupiga tuu tena barabara bila huruma.
Tumia akili, kwani huyo mwanaume kakukopa mara ngapi, na yeye amekupa au kukukopesha mara ngapi, kwake na wewe umewahi kwenda kula au kulala mpaka kwako akija umuone wa ajabu, myie si wapenzi nenda kwake na yeye aje kwako hata kama akilala kwako acha misemo ya kijinga eti mwanaume utalala vipi kwa mwanamke hujui analipaje rent, sawa hajui unalipaje rent muambie basi unavyolipa hiyo rent kama una uza, au una danga au una fanya kazi, mshahara wako una utumiaje kulipa rent na mambo mengine.
Maisha ya sasa hayana cha uanaume wala uanamke narudia tena, hichi kitu wanawake hamki elewi, mme shikamana na mitazamo ya miaka 70 kipindi hiko mashamba kibao mwanaume wewe tuu una pewa shamba jenga nyumba ya udongo anza familia ni nguvu yako tuu ya kulima heka 2 ,5 10 ili ulishe familia sasa hivi hata 20 lwa 20 ina uzwa bei mbaya...
Wanawake badilikeni...eti mwanamke hawezi mkopa mwanaume...sasa kama ana shida akakope wapi, huu ujinga mbona wasichana wa kizungu hawana, au wale hawana K nyie wakibongo ndiyo mnazo tuu.
Mna jazana ujinga tuu toka kwenye familia,saloon mkiwa mna piga umbea na ujinga huo huo ndiyo mna peleka kwenye ndoa. Ndiyo maana ndoa zina washinda myie sikuhizi...
Taja makosa ya mwanaume na makosa yako tujue tuna judge vipi hiyo kesi siyo kuja hapa kulalamikia upande mmoja tuu wanaume wanaume....
Anyway sorry kama kuna sehemu nime kukwaza but its fucking boring.